Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

Nimependa hio ya Diploma teachers!! Je graduate teachers wanatoshaaaa????
Mwana hapo patamu sana!!!!!!! Maana mtaala unasema kuwa diploma teacher should teach form 1-2 while graduate teacher should teach 3-4
 
Sera na Mtaala ni tofauti. Nadhani sera ni muongozo kwa watendaji wa elimu. Lakini mtaala is the totality of what is happening in school setting
Napata mkanganyiko wa Ni kipi kinapaswa kimreflect mwenzake? je Sera inapaswa kutungwa kufuata mtaala au Ni kinyume chake? Na kama jibu Ni kinyume chake je, kwa mabadiriko ya Sera yaliyofanyika karibuni haipo haja sasa kwa serikali kuja na mtaala mpya?
 
Unamaanisha mabadiliko gan mkuu? Kwa kua Sera ndo serikali basi mtaala utafwata sera, no way out mtaala utabadilishwa kwasababu Sera pia zmebadilika na pia tuna mtaala Wa zaman sana tangu 'msoga' We have an outdated Tanzania Education Curriculum
 
Napata mkanganyiko wa Ni kipi kinapaswa kimreflect mwenzake? je Sera inapaswa kutungwa kufuata mtaala au Ni kinyume chake? Na kama jibu Ni kinyume chake je, kwa mabadiriko ya Sera yaliyofanyika karibuni haipo haja sasa kwa serikali kuja na mtaala mpya?
NADHANI MTAALA NDIO UNATAKIWA UANZE. LAKINI TZ TUNAFANYA VICE VERSA. MTAALA WENYE UNAFANYIWA VIRAKA VIRAKA TU KAMA KATIBA
 
NADHANI MTAALA NDIO UNATAKIWA UANZE. LAKINI TZ TUNAFANYA VICE VERSA. MTAALA WENYE UNAFANYIWA VIRAKA VIRAKA TU KAMA KATIBA


Sera ya elimu ipo ndani ya mtaala. Yaani kiufupi mtaala ni kama katiba katika sekta ya elimu. Mtaala umejumuisha mambo yote yanayohusu elimu kama nilivyokuwa nimechangia awali.
 
lkn hiyo ni ya mwaka 2010....cwez sema imepitwa na wakat au la......kuufuata huo mtaala kuna uzuri wake na ubaya...infact kuna sumu tunamezeshwa primary kwamba masomo ya sayansi ni magumu.... m nlikua mmojawapo na nlipofika form three nikaenda pcm ni nmefanikiwa via pcm.....xo kuna uzuri na ubaya tusiwe crying babies mtu hata akisoma masomo 50...inamfanya kuwa na wigo mpana wa kuchagua nini anapenda...kna watu wanamaliza form one wakiwa hawana juhudi lkn formtwo wanaamka na kujituma na wanafaulu...mtoa maada sioni cha maana ulicholeta japo mtaala upo
 
Back
Top Bottom