Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

mambo mengi yanapelekwa ndivyo sivyo elimu ya kibongo...think about special diploma ya pale udom ambao wanatrainiwa kuwa walimu wa secondary...will they be competent to the teaching field? mtu kapata c za magumashi tena za BRN eti mwl wa o level...haya yangu macho
 
Ningependa kupoteze MTAHALA lakini nimeshindwa naomba mtoa mada nikukumbushe ni MTAALA na si MTAHALA. Halafu mtaala ni syllabusnkwa Kingereza. Kwamba inaonyesha course content/outline na si masomo ambayo wanafunzi watachukua. Natamani ningejua jina la unachokizungumzia kwa bahati mbaya, sifaham
Mtaala si syllabus (mhtasari) mtaala ni curriculum .
 
Mtaala unasema walimu wenye valid diploma wafunfishe form 1-2
Ila university graduate wafundishe 3-4

Je kuna nn hapa ???? Au kwa sababu walimu Wa diploma ni wengi au nn?
 
Mtaala pia unasema madarasa lazima yawe kamilifu kimiundombinu pamoja nakuwa na umeme madilisha lakini pia kuwepo na miundombinu itakayokuwa Rafiki kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu...
Je kuna ukweli wowote hapa?
 
Ukichagua masomo machache si unakuwa wa mwisho mkuu!wenzako wana masomo kumi wewe saba!zaman kwa shule zenye ushindan darasan tulikuwa tunasoma yote plus additional mathematics,tulipangwa kutokana na ufaulu.ufaulu wa 1-40 mkondo A,41-80 mkondo B,81-120 mkondoC
 
Tatizo mtaala hausemi hivyo mkuu!!¡ nilichokiona ni kwamba mtaala unabakwa na kukandamizwa vilivyo aiseee!!!! Maana mtaala pia unasema wanafunzi wanaosoma science hawatakiwi wasome history
 
hii nimeipenda kwani itasaidia sio tu kukuza sekta ya elimu Bali kuheshimu nyaraka halali! utakuta mwalimu akimuelewesha mkuu wake wa shule kuhusu muongozo uliopo kwenye hiyo 'curriculum' linakuwa bifu, wakati wanatakiwa waufuate huo muongozo kwani wao Ni kutekeleza walichoagizwa kwenye muongozo badala yake wanaendesha wanavyojua wao.
lakini pia serikali nayo iache kujichanganya, haiwezekani wataalam waandae kitu kitaalam halafu wakakiridhia kitumike then baadae wanatekeleza ndivyo sivyo. ifikie mahala kama mmejadili kitu na mkapata muafaka basi hayo makubaliano yatekelezwa jinsi ya mlivyokubaliana. sio document inaotoa mwongozo Fulani lakini ikifika kwenye utekelezaji uchakachuzi unaanza, haitatusaidia zaidi ya kudidimiza elimu yetu.
 
Mwana nimeusoma Mara mbilimbili huh mtaala naona kama machozi yananitoka ghafla kuona kwamba elimu inavyokanyagwa namna h!!!!!! Wakuu Wa shule ni watu wabaya sana aisee!!!! Maana hii mitaala hawaisemei kwenye vikao vya walimu....kumbe kuna sir I nzito namna hiii
 
Itakuwa wanapewa maagizo na maafisa elimu ikizingatiwa wao huwa ni 'wazee wa ndio mheshimiwA' bila hata kuhoji uhalali wa hicho wanachoagizwa. Tunahitaji maombi ya kutosha kuliondoa Giza lililofunika fahamu zetu kwakweli
 
Yaani mchakato Wa kuunda hii curriculum umefanywa na wataaram na kutumia kiasi kikubwa cha pesa za taifa ili halafu haufatiliwa this is foolish.
halafu kingine na walaum hao wanajiita walimu wakuu. Hawana ushirikiano na walimu wakawaida kuhusu hyo curriculum au nao hawama wamenyimwa na serikari huo mtaara..? Walimu wakuu jibuni najua mmo humu. halafu badae utasikia haki za walimu.. Hatutazipata kwa stayle hyo hata hashuke yesu
Tatizo awa wakuu wa shule asilimia kubwa ni wajinga watu wandio mzee coz vyeo wamepewa kwakujuana kwaiyo hawawezi kuhoji
 
@bnhai syllabus kwa kiswahili ni ' muhtasari' huonyesha mada ambazo zitafundishwa kwa kila darasa, mtaala ni curriculum, hello
 
Back
Top Bottom