Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

Pia utapatamengi kwenye sera ya elimu ya mwaka 1995, ambayo ndo tunaitumia. kipindi nipo chuoni, kwenye course ya education policy ilinifungua macho, had leo cnyanyasik, zaid huniita mkorofi bt hunipa stahk zangu. ningeiatachi, but nina hard copya wajama.
 
Ningependa kupoteze MTAHALA lakini nimeshindwa naomba mtoa mada nikukumbushe ni MTAALA na si MTAHALA. Halafu mtaala ni syllabusnkwa Kingereza. Kwamba inaonyesha course content/outline na si masomo ambayo wanafunzi watachukua. Natamani ningejua jina la unachokizungumzia kwa bahati mbaya, sifaham

Umechanganya mkuu, mtaala kwa kingereza ni curriculum. Syllabas inaitwa muhtasari kwa kiswahili. Mtaala maana yake ni majuisho ya mambo yote yanayohusu elimu ya nchi husika. Mtaala hujumuisha muhtasari( sylabas), lugha za kujifunzia, vitabu vya kujifunzia na kufundishia, masomo yanayotakiwa kusomwa, kinachotakiwa kusomwa(content) na muda wa kusoma katika kiwango fulani kwa mfano elimu ya msingi ni miaka 7. Sisi Tanzania mtaala wetu ni centralized yaani niliyoyataja hapo juu inabidi yafanane nchini kote, anachokisoma aliyepo Ruvuma ndo anachokisoma aliyepo Mbeya. Nigeria ni tofauti wao mtaala wao ni decentralized kwahyo kila jimbo lina mfumo wa kuendesha elimu.
 
Unajua mtaala huo siyo umefichwa na Wakuu wa shule kama unavyosema,wakuu wa shule hawawezi kuficha mtaala ambao uunatakiwa ufanyiwe kazi mashuleni,hata hiyo kopi yenyewe ninamashaka nayo isije ikawa ile ambayo iliandaliwa kinyemela na kupelekwa pale bungeni wakati wabunge wamechachamaa wanadai waonyeshwe mitaala inayotumika mashuleni.Pia mtaala siyo Syllabus.
 
Ninamashaka na wewe.... Yawezekana wewe ni headmaster maana unajitetea weeeeeeeeeeee
 
Unajua mtaala huo siyo umefichwa na Wakuu wa shule kama unavyosema,wakuu wa shule hawawezi kuficha mtaala ambao uunatakiwa ufanyiwe kazi mashuleni,hata hiyo kopi yenyewe ninamashaka nayo isije ikawa ile ambayo iliandaliwa kinyemela na kupelekwa pale bungeni wakati wabunge wamechachamaa wanadai waonyeshwe mitaala inayotumika mashuleni.Pia mtaala siyo Syllabus.
Chakushangaza...hapa nakuona wewe kama hujiamini kabisaaa.... Huuu ni mtaala Wa mwaka 2010 chini ya Dr.mushi.....
 
Ningependa kupoteze MTAHALA lakini nimeshindwa naomba mtoa mada nikukumbushe ni MTAALA na si MTAHALA. Halafu mtaala ni syllabusnkwa Kingereza. Kwamba inaonyesha course content/outline na si masomo ambayo wanafunzi watachukua. Natamani ningejua jina la unachokizungumzia kwa bahati mbaya, sifaham

Syllabus/syllabi( muhtasari)inatoka ktk curriculum (mtaala).
Syllabus shows the subject to be taught..it's content, objectives of the the topics,suggested mode of delivery/methods/strategies, resources, number of periods, evaluation etc!
In the curriculum there's more package ...it takes care of curricula n' extra curricula activities
 
Umechanganya mkuu, mtaala kwa kingereza ni curriculum. Syllabas inaitwa muhtasari kwa kiswahili. Mtaala maana yake ni majuisho ya mambo yote yanayohusu elimu ya nchi husika. Mtaala hujumuisha muhtasari( sylabas), lugha za kujifunzia, vitabu vya kujifunzia na kufundishia, masomo yanayotakiwa kusomwa, kinachotakiwa kusomwa(content) na muda wa kusoma katika kiwango fulani kwa mfano elimu ya msingi ni miaka 7. Sisi Tanzania mtaala wetu ni centralized yaani niliyoyataja hapo juu inabidi yafanane nchini kote, anachokisoma aliyepo Ruvuma ndo anachokisoma aliyepo Mbeya. Nigeria ni tofauti wao mtaala wao ni decentralized kwahyo kila jimbo lina mfumo wa kuendesha elimu.
Heri ya mwaka mpya mkuu,
nimekusoma vizuri jinsi ulivyofafanua. Nina ukakasi kidogo na kile kilichofanyika mwaka juzi (2014) na rais mstaafu cha kuzindua Sera mpya ya elimu kama kin-reflect huo mtaala tunaoutumia sasa. Kama sivyo, ninafikiri kuna haja sasa ya kuandaa mtaala mwingine utakaoendana na Sera ya sasa ya elimu. Japo huo mtaala sijausoma bado ila nashawishika kuamini kwamba ulifafanua vizuri lugha za kufundishia kwa level tofauti. Lakini ukiangalia Sera ya elimu ya sasa inaelekeza kutumika kwa lugha mbili tofauti kwa level moja ya elimu. Sasa hili sijui kama wataalam wetu wa elimu wameshaliangalia vizuri kama linashabihiana na mtaala unaotumika sasa
 
Yaani kiukweli imenilazimu kuipenda zaidi hii thread, sababu ni kupata CURRICULUM nimeitafuta sana bila mafanikio hii kitu. AHSANTE SANA MKUU NA UBARIKIWE.
Mie nimefanya utafiti nilitumia ya 2009!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Document zinafichwa ni balaa. Halafu website mara nyingi ya Tanzania Institute of Education huwa OFFLINE
 
Heri ya mwaka mpya mkuu,
nimekusoma vizuri jinsi ulivyofafanua. Nina ukakasi kidogo na kile kilichofanyika mwaka juzi (2014) na rais mstaafu cha kuzindua Sera mpya ya elimu kama kin-reflect huo mtaala tunaoutumia sasa. Kama sivyo, ninafikiri kuna haja sasa ya kuandaa mtaala mwingine utakaoendana na Sera ya sasa ya elimu. Japo huo mtaala sijausoma bado ila nashawishika kuamini kwamba ulifafanua vizuri lugha za kufundishia kwa level tofauti. Lakini ukiangalia Sera ya elimu ya sasa inaelekeza kutumika kwa lugha mbili tofauti kwa level moja ya elimu. Sasa hili sijui kama wataalam wetu wa elimu wameshaliangalia vizuri kama linashabihiana na mtaala unaotumika sasa
Sera na Mtaala ni tofauti. Nadhani sera ni muongozo kwa watendaji wa elimu. Lakini mtaala is the totality of what is happening in school setting
 
Back
Top Bottom