Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Kama hauna hela hauwezi kula mzigo
 
Kwahiyo kuna watu bado mnatongozana?
Nakereka sana ile moment ya nijibu basi unajua nakupenda. Nakupa block takatifu
 
Sikuizi kumtaka Demu atutongozi mbona mnaleta mambo ya kale
kutongoza si lazima useme nakutaka, au nakupenda, ishu ni kujenga mazoea na mtu akuelewe na kukuamini,

au wewe unamshika tu mkono unamwambia twende huku?
 
Tafuta hela mdogo wangu,mambo ya kusimamisha mdada wa watu na kuanza kumpa sound,na mistari mireeefu,tulifanya kaka zako,enzi hizo mpaka mwisho wa miaka ya 1999s,kabla ya smart phone na Social networks,
Sasa HV unaanzia wapi kupiga sound,unaye mpiga sound yupo bize na smart phone muda wote?
Tafuta hela kwanza mengine utazidishiwa
 
Sawa mkuu ngoja tutafute pesa watakuja wenyewe tu
 
Simple sana. Kutongoza kuna hatua 4.
1. Salamu ,
(Dada habari? .......)

2. Kumsifia,
( Mrembo Umedamshi ....).

3. Kuomba Namba ya simu
(Dada tunaweza kuwasiliana tena,... Tubadilishane mawasiliano...) hapa sasa usije ukatoa li TECNO mfukoni.

4. Kuagana
(Bye Mrembo, Baadae nitakupigia simu Nikutongoze....) kama mpo kwenye daladala au hotelini unamlipia.

Akijibu Haaaaya, ndo basi tena ushamtongoza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…