Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Umenichekesha ila wasukuma tunamambo ukimyatia mdada anajifanya unic namwacha tu atakapokuja kujua title yangu huwa wananifuata kunitongoza hapo sasa
 
ukiwa huna mavi huwezi ona umuhimu wa choo, subiri mavi kijana.
 
Wewe mwambie tu kwamba Dondoka Nikurarie then kuanzia hapo kila kitu kitatiririka automatically kutegemea na atakavyo kujibu. Au Mwambie tu kwamba Dada mimi nataka Ile kitu namesa mwenzake
 

Cool stuff, hapa nakusanya key pointers.

Nina kazi nazo, kuna project iko kwenye pipeline ila mbinu zangu zote zinaelekea kufeli.
 
Ukikutana na mwanamke mkazie jicho km 'propesa' wa jalalani mwambie unataka UKAMTOMB.E hapo kazi yako inakuw imeisha.
 
Hivi bado Kuna kutongoza?
Mi nilishasahau.
Natangaza lengo langu na pesa mbele.
Akigoma naendelea mbele!!
Hawa wanawake miaka sio wa kuumiza kichwa, mpe offer ya kitimoto na bia ushamaliza!!
Mkimaliza hapo anakuambia anaogopa kurudi kwake peke yake!!
Na wasiokula kitimoto na bia unawapa nini?....
 
Hahahahahhaha hao ndio vilaza kabisaaa kwenye nchi yetu sijui wapoje
 
Ukifanikiwa kutongoza ukakubaliwa, nielekeze kwa demu wako nikuoneshe jinsi nnavyomng'oa ahamie kwangu.

Utashi wako tu mpaka unajikuta mwanamke anakutongoza ww....
 
Naaamini kuwa mwanaume anaweza akawakosa wanawake wote ila hawez kumkosa mwanamke anayependa pesa..na ukiwa na pesa zinakusaidia kutongoza labda awe hana tamaaa ya pesa na hao ni wafew sana 3%
Daaah, kweli lakini, mi ni mtu mmoja mgumu sana kutoa pesa kwa msichana ambae sija..... sijui nina matatizo gani,
 
Hii imekaa poa ngoja tuanze kufanyia kazi
 
Haya ndo changamoto kwa kweli
 
Usichoke kuandika hayo uliyobakisha ndo tunayahitaji
 
Tafuta hela kama million 10.halafu nenda sehemu unayojua ina watoto wazur na wana makalioooooooo..mwambie mmojawapo nakupenda.halafu mnunulie kifurush cha laki 1.asipokukubalia kajitose baharini
Sasa kama huna pesa inamaana tuanzishe CHAPUTA
 
Daaah, kweli lakini, mi ni mtu mmoja mgumu sana kutoa pesa kwa msichana ambae sija..... sijui nina matatizo gani,
Unaziwazia sana pesa au unakuwa na pesa ya mawazo.nasemea Sisi wenye kulala na ten unaamka na m 3 hadi 10
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ