Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Kwakweli Mimi midfield kisheti bila kumvua mwenyewe iyo mechi inakuwa postponed, Raha yangu IPO kwenye kuwavua taraiiiiibu mwanaume sina papara.
za wap? eti atake kuvua mwenyewe amekua Malaya,
 
Dah! Akina dada kwa nini msijikubali tu jinsi mlivyo? Hivi ni kweli kuvaa hivyo vigodoro na kuonekana umefungashia ndio chambo ya wanaume?

Ila, wanaume hapa tumewezwa! Udhaifu wetu umeanikwa mchana kweuoe. Tunapendea mashepu, tabia na mwenendo tutajua mbele kwa mbele.

Huu utaratibu wa msichana anapita kuleee kilomita tank unamuona na kusema umempenda, ndio hayo ya ndoa kudumu kwa wiki moja tu! Tunapenda mashepu, tunapokuta magodoro, taaabu tupu!
Yan kuacha kigodoro siwez labda wengineeee
 
Mimi naanzia usoni bana halafu utafuata sehemu zingine.

Wengine hata sura hawaangalii, wao ni vigodoro tu
Unapendaa sura nzuriii eeeh
Aiseeeh ningekuwa sijaolewa ningekwambia unioe mm nina sura nzur mpaka najionea wivu
 
Mnawayumbisha sana hao wanawake zenu mnawafanya wanapaka Mchina wanakuwa na shepu kama Tangawizi
1. Naona unawaongelea wengine sijajua upande wako. Unapopaka wanja, rosheni kiufupi kujiremba. Huwa mnajiremba kujipendezesha au kuwavutia wanaume?
2.Hivi ni kwann mwanamke anapopata shida hufikiria kutembea na wanaume kuliko kutafuta kazi halali ya kufanya? Utakuta kabinti ka shule msingi kakikosa sabuni au pedi anaanza kujihusisha na mapenzi ili apate hela au utakuta mwanamke kakosa kodi anatafuta bwana wa kumlipia.
3. Unajisikiaje mwanamke unapokuwa kwenye uhusiano wa wanaume wengi? Leo anakugonga huyu, kesho yule. How do you feel?
 
Hakuna sifa yangu hata moja hapo so ni vema nisikujibu
 
Back
Top Bottom