Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ulikuwa hujui!! Jiulize kwanini magodoro ya TanFoam yanapanda bei kila uchwao!!
Na dawa za panya zinauzika sana!!
Ukimsikia mdada "mi sipendi panya"! Fanya kauchunguzi!
 
Dah! Akina dada kwa nini msijikubali tu jinsi mlivyo? Hivi ni kweli kuvaa hivyo vigodoro na kuonekana umefungashia ndio chambo ya wanaume?

Ila, wanaume hapa tumewezwa! Udhaifu wetu umeanikwa mchana kweuoe. Tunapendea mashepu, tabia na mwenendo tutajua mbele kwa mbele.

Huu utaratibu wa msichana anapita kuleee kilomita tank unamuona na kusema umempenda, ndio hayo ya ndoa kudumu kwa wiki moja tu! Tunapenda mashepu, tunapokuta magodoro, taaabu tupu!
 
Vipi hivyo vigodoro alivyow3ka makalioni siku anyeshewe na mvua shape yake itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am just thinking loud
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapo anajihami kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom