Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Hupitwiii...Nataka hilo chimbo nimeona fursa[emoji23][emoji23]
Hupitwiii...Nataka hilo chimbo nimeona fursa[emoji23][emoji23]
Hao ni wengine, mimi naanzia usoniSasa nyie si ndo mnasema hata tujirembe vipi mnatazama wowowo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui watapenda nyonyo saa sita au saa nane usikuu hapo ndo tutapambana naoooWakija kwenye maziwa siku hizi ni mambo ya siliconi tu...
Itakuwa mtandao wake umeanza kusoma 2g[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa pole umehisi nini labda [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu nafunga mkanda wa tumbo
Nakuwa kiuno nyiguuu alafu gutakoooo gukubwaa
Ewaaaaah nadunda tu
Bora wewe RafikiHao ni wengine, mimi naanzia usoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa mtandao wake umeanza kusoma 2g[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuwa naweka maembeee navaa sidiliaa nyonyooooo alafu nabust kama isha mashauzi whyWatahamia kwenye manyonyo makubwa [emoji23][emoji23]
Unatokaje kwa mfano[emoji23][emoji23]Yani ukiwa flat kama mimi utajikuta unaogopa hata kutoka nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka takoo lipandeee juu zaidiMbona upo vizuri tu
Haaaaaa yani tutaenda nao sambamba tu[emoji28][emoji28]Nitakuwa naweka maembeee navaa sidiliaa nyonyooooo alafu nabust kama isha mashauzi why
Mnatusumbua kwa kweli halafu hapo hapoKichwa cha chini hakijawahi kumuacha mtu salama [emoji28][emoji23][emoji23]
Nitakutafuta maa[emoji23][emoji23]Usijali nishtue nikupeleke [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahhha shoo na wewe umoIla umeongeza chumvi kigodoro kinatubinua makalio siyo mpaka na hips
Mi mwenyewe huwa navaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama mpenzi.
Tukawa tunatoka outing, tunakula na kila tukitembea wanaume wanamtolea macho huyu bidada..
Nikaona yeeees na mimi nina mtu hatari, basi nikawa navimba mwenyewe nikiwa nae maeneo full mahaba.
Za mwizi arobaini siku ya siku ikafika bidada nikamwambia nnavyojisikia kuwa nae na mambo yote kama wapenzi.Akaja geto tukafurahi mastori ma romance nk..
Sasa imefika wakati wa kwenda kula tunda.Nataka kumvua skin jeans ananizuia anataka kuvua mwenyewe. Namwambia plz baby relax let me do it for u.. kakataaa katakata nikaona sio shida.Akaingia bafuni akavua akaja na nguo kashikilia mkononi kwa aibu akaziweka kwenye sofa.
Mhhhhh nikashangaa mbona kakonda ile shepu yote hamna!? Mbona usoni ndio yeye lakini huku chini sio!? Hana hips wala makalio. Ikabidi niangalie vizuri pale alipoweka nguo zake nikaona zimetuna tuna as if kuna nguo nyingi
Dah! mood yote ikaisha..halafu kwa makusudi ananiuliza baby vipi mbona kimya!? "" mwenzio navaa mchina(kigodoro). Nikamuuliza kwa hiyo ndio mana hukutaka nikuvue! Akacheka saana.. dah ikabid nile tu mzigo ntafanyaje.
Kiukweli ni fundi sana ila nashangaa tu kwanini anavaa vile!??
Nataka kumwambia aache kuvaa vigodoro sasa sijui atanielewa au utakuwa ugomvi.
Na sasa hivi anajiachia tukiwa faragha namvua mwenyewe nachukua kigodoro cha mchina nakiangalia yeye huku mbavu hana kwa vicheko.She is very funny to be with.
Dunia ina mambo kiranga chote kimeniisha cha kutaka mishepu.
Tatizo tukijikibali nyie hamtaki kutukubali,acha tu tupambane hivihivi hakuna namna[emoji23][emoji23]Hahahaaa.
Mnatutesa sana jamani ebu tuhurumieni, jikubalini hivyo hivyo tu.
Sibadili naenjoy mm kuangaliwaa takoooSasa wakiambiana umeisha
Labda ubadili njia haha
Tutafanya plastic surgery hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]Watahamia kwenye Lips [emoji182] [emoji23]
Poleee sanaHiki kigodoro leo kinatusababishia tunangwe hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]