Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukikosa hela tutawatega nyuki watung'ate Ili ziwe lips denda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kataakuwanaflatscreen#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukikosa hela tutawatega nyuki watung'ate Ili ziwe lips denda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MmmmhhhTatizo tukijikibali nyie hamtaki kutukubali,acha tu tupambane hivihivi hakuna namna[emoji23][emoji23]
#kataakuwanaflatscreen##kataakuwaflatscreen#
Hii kampeni naanza rasmi[emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha cute
Umeonaa eeehHalafu wanatokea watu wanatusema wenye chura kumbe wenyewe wanavaa vigodoro [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetoka nje ya madaaaaaa1. Naona unawaongelea wengine sijajua upande wako. Unapopaka wanja, rosheni kiufupi kujiremba. Huwa mnajiremba kujipendezesha au kuwavutia wanaume?
2.Hivi ni kwann mwanamke anapopata shida hufikiria kutembea na wanaume kuliko kutafuta kazi halali ya kufanya? Utakuta kabinti ka shule msingi kakikosa sabuni au pedi anaanza kujihusisha na mapenzi ili apate hela au utakuta mwanamke kakosa kodi anatafuta bwana wa kumlipia.
3. Unajisikiaje mwanamke unapokuwa kwenye uhusiano wa wanaume wengi? Leo anakugonga huyu, kesho yule. How do you feel?
hahaa angeacha ..tungemtoa katika chama chetu aiseee"" sisi huwa tunapiga tu kufidia gharama na muda wetu ..then baada ya hapo ndio kibuti kinafuata"""Hahahah!!... nilichokubali akaendeleza game,maana angeacha tungemlaum.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaaah katoka nje ya madaa whyHakuna sifa yangu hata moja hapo so ni vema nisikujibu
Hapana. Umeniongopea wala siyo kweli. Na hili ulikimbieHakuna sifa yangu hata moja hapo so ni vema nisikujibu
Unamjua Miner Spartan?#kataakuwanaflatscreen#
Nakazia hapoooo
Safari moja huanzisha nyingine. Mada moja inaweza kuanzisha mada zingine ndogo ndogo.Umetoka nje ya madaaaaaa
#kataakuwanaflatscreen#
Wengine wanapata ajali ya gariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanageuka mpka wanaingia kweny mitaro humo barabarani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#kataakuwaflatscreen#
Vaa kigodoro
Hata mm niliwazaa hivyoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifanya umelewa [emoji23][emoji23]
Wewe guna tuduuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mumeo aje akuchukie tu huku,utaniumiza mbavu jamaniMm kama Demiss naenda nao sawa hawa wanaumeee wakipenda sura naenda kununua ngozi ya bandia kama ya mttoot mchangaa navaaa Limask why
Kuna hajaa mzee akiwa anapata challenge inapendeza zaidiHahahaha hivi ukishapendwa kuna haja tena yakuendelea kuweka vigodoro?