[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tuvaeeee tu
Dah we acha mpaka nimeamua kuutoa huu uzi ujue bas.. kiukweli kigodoro kinatoa mtu poa i cant deny..Ninavyopenda sasa alafu uvae kwenye suruali ya jeans unakuwa na gutakooo kubwaaa
Mpende tu hakuna namnaNampendajeeeeee
Yah.. nshayavulia nguo...lazima niyaogeMpende tu hakuna namna
Asantee shemej mzigo nimepataaaaMzigo mpya wa vigodoro umeingia....kwa wanaohitaji mnichek,kwa bei za jumla na reja reja[emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeee sanaaaDah we acha mpaka nimeamua kuutoa huu uzi ujue bas.. kiukweli kigodoro kinatoa mtu poa i cant deny..
Uvae kabisa shem ili watu waone inavyotokelezeaAsantee shemej mzigo nimepataaaaView attachment 735485
Kumbe wengii eeh kuna magauni mengine bila kidoro hayanogiiiIla umeongeza chumvi kigodoro kinatubinua makalio siyo mpaka na hips
Mi mwenyewe huwa navaa
Kabisa yaaniKumbe wengii eeh kuna magauni mengine bila kidoro hayanogiii
Kumbe sisi wanaume ni malighafi adimu sana. Kwahiyo wanaume wakipenda kitu na nyie mnafanya hata km kitawadhalilisha?Hakuna namna mmezidi kupenda chura sasa tufanyaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ata za mahipsi zipoIla umeongeza chumvi kigodoro kinatubinua makalio siyo mpaka na hips
Mi mwenyewe huwa navaa
Anasema chura ananesa nesaa churaa[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]Kabisa yaani
Mie natupia mpaka kwenye baibui...
Mtu akiona anasema maashaallah
Vipi ushakutana nayooohaha [emoji23] [emoji16]