Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
[emoji23][emoji23] Ewaaaaah utanipeleka chimbooo shoooHili livalie zile zinapandisha makalio juu
Au uje nikuazime yangu
[emoji23][emoji23] Ewaaaaah utanipeleka chimbooo shoooHili livalie zile zinapandisha makalio juu
Au uje nikuazime yangu
Kweli kabisa Butt Lifter ndo inafaa hapo [emoji6]Hili livalie zile zinapandisha makalio juu
Au uje nikuazime yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji8] unanivunja mbavu dadaaKabisa yaani
Mie natupia mpaka kwenye baibui...
Mtu akiona anasema maashaallah
Usicheke rafiki [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee rahaaa sana ujuee wowowo kubwaa ukifika home unavua unatabasamu jinsi wanaume walivyovunjaa shingoooElfu 20000/= tu usiwaone wadada wa mjini wanadengua dengua confidence wanatoa kwenye hivyo vigodoro[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahhahahahahha kigodoro on fliik[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee rahaaa sana ujuee wowowo kubwaa ukifika home unavua unatabasamu jinsi wanaume walivyovunjaa shingooo
Hahahahaha mna maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee rahaaa sana ujuee wowowo kubwaa ukifika home unavua unatabasamu jinsi wanaume walivyovunjaa shingooo
Eti akianza kuangalia kigodoro kwenye kochi, mvaa kigoro hana mbavu kwa mtikisiko wa kicheko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usicheke rafiki [emoji23][emoji23]
Yan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingoooKuna mdada mmoja ni babyface halafu very cute na mwili ni mkubwa ila sasa wowowo huo sio wa kawaida.(fake)
Kwa kweli mpaka sisi wazee akipita kama tunaongea huwa tunanyamaza kwa sekunde kadhaa.
Kumbe niliyoyasikia wakati huo ndio nayasoma tena humu
Kwa kweli huu msemo wa kuwa uyaone sijui ntakuwa lini
[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]kigodoro habar ya mjini
Saiv sjui watahamia wapiii wakitokaa kwenye wowowo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tutawanyoosha hadi waache kupenda mawowowo
Eti niliamua kujilia mzigo japo alikuwa anasikitika kwa kuona chura imekalishwa kwenye kochi huku muhusika yupo on bed[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahhahahahahha kigodoro on fliik
Hahahaa noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee rahaaa sana ujuee wowowo kubwaa ukifika home unavua unatabasamu jinsi wanaume walivyovunjaa shingooo
Jamani shingo zinauma halafu tukivaa neck bandage itabidi tugeuke mazimaYan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingooo
Ile butt lifter uipatie kwenye skinnyYan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingooo
Yan huwa nawachoraa tu alafu makusud nalitingisha nginja ngijaaaaa ewaaaaaahHahahahaha mna maneno
Mungu anakuona ujue
Vipi hivyo vigodoro alivyow3ka makalioni siku anyeshewe na mvua shape yake itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama mpenzi.
Tukawa tunatoka outing, tunakula na kila tukitembea wanaume wanamtolea macho huyu bidada..
Nikaona yeeees na mimi nina mtu hatari, basi nikawa navimba mwenyewe nikiwa nae maeneo full mahaba.
Za mwizi arobaini siku ya siku ikafika bidada nikamwambia nnavyojisikia kuwa nae na mambo yote kama wapenzi.Akaja geto tukafurahi mastori ma romance nk..
Sasa imefika wakati wa kwenda kula tunda.Nataka kumvua skin jeans ananizuia anataka kuvua mwenyewe. Namwambia plz baby relax let me do it for u.. kakataaa katakata nikaona sio shida.Akaingia bafuni akavua akaja na nguo kashikilia mkononi kwa aibu akaziweka kwenye sofa.
Mhhhhh nikashangaa mbona kakonda ile shepu yote hamna!? Mbona usoni ndio yeye lakini huku chini sio!? Hana hips wala makalio. Ikabidi niangalie vizuri pale alipoweka nguo zake nikaona zimetuna tuna as if kuna nguo nyingi
Dah! mood yote ikaisha..halafu kwa makusudi ananiuliza baby vipi mbona kimya!? "" mwenzio navaa mchina(kigodoro). Nikamuuliza kwa hiyo ndio mana hukutaka nikuvue! Akacheka saana.. dah ikabid nile tu mzigo ntafanyaje.
Kiukweli ni fundi sana ila nashangaa tu kwanini anavaa vile!??
Nataka kumwambia aache kuvaa vigodoro sasa sijui atanielewa au utakuwa ugomvi.
Na sasa hivi anajiachia tukiwa faragha namvua mwenyewe nachukua kigodoro cha mchina nakiangalia yeye huku mbavu hana kwa vicheko.She is very funny to be with.
Dunia ina mambo kiranga chote kimeniisha cha kutaka mishepu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti akianza kuangalia kigodoro kwenye kochi, mvaa kigoro hana mbavu kwa mtikisiko wa kicheko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipi?Mmmmh aseeeh