Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Hapana. Umeniongopea wala siyo kweli. Na hili ulikimbie
1. Kwann mnaomba sana hela? Ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke hata km umemtongoza leo haitapita siku 5 bila kukuomba hela.
2. Kwann papuchi zenu mnaweka km silaha? Ukigombana na mwanamke usiku lazima unywime papuchi na kuna wakati unapangiwa mchezo kwann?
Unatumia nguvu nyingi kujibu umetoka nje ya madaa mkuu why
 
Hapana. Umeniongopea wala siyo kweli. Na hili ulikimbie
1. Kwann mnaomba sana hela? Ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke hata km umemtongoza leo haitapita siku 5 bila kukuomba hela.
2. Kwann papuchi zenu mnaweka km silaha? Ukigombana na mwanamke usiku lazima unywime papuchi na kuna wakati unapangiwa mchezo kwann?
Tatizo unatongoza mademu wa ajabuuuu
 
Safari moja huanzisha nyingine. Mada moja inaweza kuanzisha mada zingine ndogo ndogo.
Mfano.
Mada kuu ya chakula.
Ukianza kujadili suala la vyakula lazima uingize mada ndogo ya usafi.
Unatuharibiaaa mood bhn ss hatutak hayo anzisha uzi tutakujaaa tu kukujibu usiache kunitag
 
H
Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama mpenzi.

Tukawa tunatoka outing, tunakula na kila tukitembea wanaume wanamtolea macho huyu bidada..

Nikaona yeeees na mimi nina mtu hatari, basi nikawa navimba mwenyewe nikiwa nae maeneo full mahaba.

Za mwizi arobaini siku ya siku ikafika bidada nikamwambia nnavyojisikia kuwa nae na mambo yote kama wapenzi.Akaja geto tukafurahi mastori ma romance nk..

Sasa imefika wakati wa kwenda kula tunda.Nataka kumvua skin jeans ananizuia anataka kuvua mwenyewe. Namwambia plz baby relax let me do it for u.. kakataaa katakata nikaona sio shida.Akaingia bafuni akavua akaja na nguo kashikilia mkononi kwa aibu akaziweka kwenye sofa.

Mhhhhh nikashangaa mbona kakonda ile shepu yote hamna!? Mbona usoni ndio yeye lakini huku chini sio!? Hana hips wala makalio. Ikabidi niangalie vizuri pale alipoweka nguo zake nikaona zimetuna tuna as if kuna nguo nyingi
Dah! mood yote ikaisha..halafu kwa makusudi ananiuliza baby vipi mbona kimya!? "" mwenzio navaa mchina(kigodoro). Nikamuuliza kwa hiyo ndio mana hukutaka nikuvue! Akacheka saana.. dah ikabid nile tu mzigo ntafanyaje.

Kiukweli ni fundi sana ila nashangaa tu kwanini anavaa vile!??
Nataka kumwambia aache kuvaa vigodoro sasa sijui atanielewa au utakuwa ugomvi.

Na sasa hivi anajiachia tukiwa faragha namvua mwenyewe nachukua kigodoro cha mchina nakiangalia yeye huku mbavu hana kwa vicheko.She is very funny to be with.

Dunia ina mambo kiranga chote kimeniisha cha kutaka mishepu.
Huyo demu kiboko sema muhimu umemkubali alivyo kwa wazee wa kubeti tunaita both team to score.

Mie pia wangu anavaaga mara moja moja ingawa chura anae ila akinenepaga chura anamezwa kidogo. So anakuwa hajiamini flani kama kawaida yao ilivyo anatupia kigodoro ku boost ila kwangu mie siwazi. I see no difference maana nimeanza nae akiwa na frogi safi kabisa nainjoy kumoyo tu.
 
Back
Top Bottom