daaaah TCU mbona mmechewa kuntumia hizo confirmation code mapema

Marcel_10

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
389
160
habari za mida hii wakuu. naombeni ushauri nifanyaje naana TCU wamentumia code zao jion hii up to now nimeshindwa kucomfirm ,
 
Yaah m ndy silew k2 nme apply diploma lkn naskia tu! Code code na cc kwan tunapokea au!!!?
 
Ambao bado hamjapata code au mmeshindwa ku confirm ni bora uwasiliane na chuo husika ili kupata mwongozo maana itakuja kuwasumbua kweny swala la mkopo
 
Back
Top Bottom