Daaaah hawa MTV ni kiboko aisee

Daaaah hawa MTV ni kiboko aisee

Joined
Nov 16, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Baada ya kuona team ali kiba ni wazee wa kulia lia leo ndo wakaamua watukomeshe kabisa hii imedhihirika baada ya post yao kuwataka team kiba wapige kelele kama kwel alikiba ni bestdressed east afrika una weza ukaitazama post yao hapa
c9848f97efff43620063a888b3cb5317.jpg
.
 
Acha ushamba uliza kama hujaelewa
 
Me sio shabiki wa jamaa bt mleta mada nadhani hujaelewa mantiki na dhima ya lugha hucka ilivyotumika
 
Hahahah, dah kiingereza cha kusoma darasani ukija ulimwenguni unadhalilika wazi wazi....Raia zinatafsiri neno kwa neno
 
Back
Top Bottom