D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,570
Reaction score
16,017
GTs,

Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa.

Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali tunaunga mkono maandamano ya kumtoa huyu muuaji wa vijana na wenzetu wasiokuwa na hatia.

Ombi letu msituone adui, tuungane kuikomboa Tanganyika yetu.

Nawasilisha kwa niamba ya wana CCM wazalendo
 
capsule_616x353.jpg
 
Adui wa Tanganyika sio Samia, sio CCM, ni mfumo tulioulea wenyewe. ....... Kauli yako hii usiikane.
 
GTs, Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa. Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali tunaunga mkono maandamano ya kumtoa huyu muuaji wa vijana na wenzetu wasiokuwa na hatia. Ombi letu msituone adui, tuungane kuikomboa Tanganyika yetu. Nawasilisha kwa niamba ya wana CCM wazalendo
Freedom is coming tomorrow
 
GTs,

Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa.

Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali tunaunga mkono maandamano ya kumtoa huyu muuaji wa vijana na wenzetu wasiokuwa na hatia.

Ombi letu msituone adui, tuungane kuikomboa Tanganyika yetu.

Nawasilisha kwa niamba ya wana CCM wazalendo
Nani anayeteka na kuua raia wanchi hii?
 
Back
Top Bottom