Ni kweli ninabaki na kauli yetu, tukimtoa Samia tusidhani tumemaliza tatizo lazima tufumue mfumo wote kabisa tuwe na katiba mpya, tume huru na misingi ya usawa. Ndiyo maana maandamano ya D9 yalenge mfumo siyo mtu.Adui wa Tanganyika sio Samia, sio CCM, ni mfumo tulioulea wenyewe. ....... Kauli yako hii usiikane.
Jambo jema hili, CCM kuna mpasuko mkubwa sana dear, inshaAllah tuangalie nchi kwanza vyama baadae. Lissu aachie huru.GTs,
Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa.
Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali tunaunga mkono maandamano ya kumtoa huyu muuaji wa vijana na wenzetu wasiokuwa na hatia.
Ombi letu msituone adui, tuungane kuikomboa Tanganyika yetu.
Nawasilisha kwa niamba ya wana CCM wazalendo
Usiwaamini Sana ccmKweli shetani hana rafiki
Je hili si lako pia? Mbona yanapingana?GTs,
Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa.
Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali tunaunga mkono maandamano ya kumtoa huyu muuaji wa vijana na wenzetu wasiokuwa na hatia.
Ombi letu msituone adui, tuungane kuikomboa Tanganyika yetu.
Nawasilisha kwa niamba ya wana CCM wazalendo
Nakubaliana Mshana Jr point yangu iko pale pale. Kama hiki kizazi chenye kuishi mfumo wa ufisadi siyo suluhisho la matatizo ya kitaifa. Ni muhimu sana wasijisahau kudhani wanaweza kuwa solution. Umoja wa kitaifa na kuhusisha makundi yote ktk jamii ili kuleta maendeleoJe hili si lako pia? Mbona yanapingana?
Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na wengine polisi. Lakini ukweli mchungu ni kwamba adu yetu kama nchi siyo Dkt. Samia, siyo CCM, siyo serikali wala siyo polisi — adui wetu ni MFUMO TULIOULEA NA KUUENDELEZA WENYEWE.
Mfumo huu haukuja kwa pupa; umeota mizizi polepole katika kila familia, kila kijiji, kila ofisi, kila chuo, na kila kanisa au msikiti. Ni mfumo wa udanganyifu, uzembe, tamaa na hila. Mfumo unaomfanya Mtanganyika...
- Mudawote
- ccm dkt. samia
- Replies: 25
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wana akili za hovyo sana, hivi hizo dini zinawasaidiaga Nini ikiwa roho zao zimejaa wızı, ubaguzi, uzinzi, u Binafsi na mengine yafananayo na hayo?Udini tu
Kwanini hamkumwambia kwenye Vikao vyenu huko kwenye Chama Chenu?Bosi sisi hatukumpigia kura na wala hatukumpitisha kuwa mgombea wetu. Hivyo kama wana CCM hatumtambui.
CCM ipi bado unaizungumzia wewe?GTs,