D.Trump speeks in Phoenix, USA!

D.Trump speeks in Phoenix, USA!

Angekuwa anatenda yale anayosema la hasha angekuwa bonge la prez daa ila ni 'mnafiki' mzuri sana kiasi anajidisqualify kwenye mambo mengi mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wanasema

Actions speak louder than words.

Maneno yake yanaonyesha ana nia njema lakin matendo yake ni sifuri

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Umeona taabu yake. Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu. Katika speech yake ya Arizona hakuwa anajaribu kuwaunganisha watu. Alikuwa akiendelea na kampeni yake ya toka hajapata uraisi, yaani ya kuwagawa watu na kuwaaminisha wafuasi wake kwamba watu wasiomfuata yeye ni wahaini wasioipenda nchi yao.
Baada ya kusema hayo, nashangaa sana watu wanapodai alipangua maswali au hoja yoyote. Kama unajua Kiingereza, utaona kabisa jamaa asiposoma aliyoandikiwa, hawezi kueleza kitu kikakamilika. Hana mtiririko wa hoja. No wonder wafuasi wake wakubwa huko USA ni non-college educated.

Hauielewi USA wewe uliza uelezewe! Unajua kwa nini D. Trump amekuwa Raisi wa USA? Waliomuingiza D.Trump ni Wazungu middle class na hao ndiyo wanaompigia kibesi, hao non college unaowaita ndiyo democrats na ndiyo waliompigia kura Clinton ambao ni masikini weusi na Wahamiaji wengine lkn support base ya Trump ni middle class Wazungu, ni maconservatives na conservatives siku zote ni matajiri!
 
Hahahahahaha mkuu upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom