Magaidi naona wameenda kusaka mbinu mpya ila mzee noma hana simile na hayo mamtu anayapa makavu live! Am never tired listening this man, very unpredictable! Juzi walijua anajitoa kwenye Afghanistan war what a surprise! Kila mtu akabaki mdomo wazi, very honest man! He was supposed to takw office eight years ago now things could be different! Let's give him a chance.Kasemaje huyu simba. Aminia sana hii mutu. In less than a year in office magaidi wameanza kusahaulika.
Mkuu he is among the best presedents America ever get. Kiongozi anayelikutanisha jopo lake la juu kujifunza neno la Mungu huyo ni hekima ya Suleiman sio wa mchezo mchezo. Uarabuni hapo wameamua kutajana wenyewe kwa wenyewe nchi zipi wafadhili wa ugaidi n.k. Mdogo mdogo watapiteana tu; muda utaongea.Magaidi naona wameenda kusaka mbinu mpya ila mzee noma hana simile na hayo mamtu anayapa makavu live! Am never tired listening this man, very unpredictable! Juzi walijua anajitoa kwenye Afghanistan war what a surprise! Kila mtu akabaki mdomo wazi, very honest man! He was supposed to takw office eight years ago now things could be different! Let's give him a chance.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaMkuu he is among the best presedents America ever get. Kiongozi anayelikutanisha jopo lake la juu kujifunza neno la Mungu huyo ni hekima ya Suleiman sio wa mchezo mchezo. Uarabuni hapo wameamua kutajana wenyewe kwa wenyewe nchi zipi wafadhili wa ugaidi n.k. Mdogo mdogo watapiteana tu; muda utaongea.
Vitu viwili ambavyo ni nadra kwa viongozi wetu ambavyo Donald anavyo.Mkuu he is among the best presedents America ever get. Kiongozi anayelikutanisha jopo lake la juu kujifunza neno la Mungu huyo ni hekima ya Suleiman sio wa mchezo mchezo. Uarabuni hapo wameamua kutajana wenyewe kwa wenyewe nchi zipi wafadhili wa ugaidi n.k. Mdogo mdogo watapiteana tu; muda utaongea.
Huyu jamaa mimi namkubali sana,kweli mda mwingine huwa anachemkaga hadi naona,daaah!!.Ila overall jamaa yuko powa sana,akisimamia kitu huwa hatetereki.Mkuu naona DT ametishia Goverment Shutdown if congress wakishndwa ku fund border wall. Jamaa anahasira sana na huu ukuta.Magaidi naona wameenda kusaka mbinu mpya ila mzee noma hana simile na hayo mamtu anayapa makavu live! Am never tired listening this man, very unpredictable! Juzi walijua anajitoa kwenye Afghanistan war what a surprise! Kila mtu akabaki mdomo wazi, very honest man! He was supposed to takw office eight years ago now things could be different! Let's give him a chance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu ambacho wengi hawajui, Donald anafanyaga makosa makubwa sana ila yupo makini sana kwenye kudili nayo kiasi kwamba mwisho wa siku lazima ata win tu. He knows how to deal with his flaws no matter the situation, wengi wetu hapo huwa panatushinda unajikuta umegive up unaona dunia nzima ipo mabegani mwako! Trump ukitaka kujua how strong he is basi wakati amekosea kitu, huwa yupo ka simba aliejeruhiwa never miss an opportunity!Huyu jamaa mimi namkubali sana,kweli mda mwingine huwa anachemkaga hadi naona,daaah!!.Ila overall jamaa yuko powa sana,akisimamia kitu huwa hatetereki.Mkuu naona DT ametishia Goverment Shutdown if congress wakishndwa ku fund border wall. Jamaa anahasira sana na huu ukuta.
True,kama hii issue ya Neo-Nazis na KKK,kwenye statement ya kwanza alizingua kidogo kwemye twitter,Ila alipofanya press,hahaha pale ndo niliamini huyu jamaa anajua kucheza na beat asee,Alikuwa akipangua maswali kiakili zana.Ilaa hii issue ya white supremacist DT inabidi awe makini sana,asipoangalia ataigawa nchi sana,japo hasa sasa hivi hali sio nzuri.But he still have time to can make things right.Kuna kitu ambacho wengi hawajui, Donald anafanyaga makosa makubwa sana ila yupo makini sana kwenye kudili nayo kiasi kwamba mwisho wa siku lazima ata win tu. He knows how to deal with his flaws no matter the situation, wengi wetu hapo huwa panatushinda unajikuta umegive up unaona dunia nzima ipo mabegani mwako! Trump ukitaka kujua how strong he is basi wakati amekosea kitu, huwa yupo ka simba aliejeruhiwa never miss an opportunity!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli, swala la ubaguzi lipo sana before hata hajaingia WH, sema saivi linapewa coverage kubwa na liberal media wanaoamini chanzo ni Trump ila si kweliTrue,kama hii issue ya Neo-Nazis na KKK,kwenye statement ya kwanza alizingua kidogo kwemye twitter,Ila alipofanya press,hahaha pale ndo niliamini huyu jamaa anajua kucheza na beat asee,Alikuwa akipangua maswali kiakili zana.Ilaa hii issue ya white supremacist DT inabidi awe makini sana,asipoangalia ataigawa nchi sana,japo hasa sasa hivi hali sio nzuri.But he still have time to can make things right.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata mm nlikuwa ivo before ila baada ya kujisumbua kumsoma na kumsikiliza nilijikuta naona vitu tofauti! Ni mtu makini kuliko tunavodhani na kuambiwa kila siku hata Obama alikiri wazi kuwa watu wasimchukulie Trump kawaida kawaida.Kweli DT ana wapenzi. Mimi namuona mweupe sana mbabaishaji.
Umeona taabu yake. Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu. Katika speech yake ya Arizona hakuwa anajaribu kuwaunganisha watu. Alikuwa akiendelea na kampeni yake ya toka hajapata uraisi, yaani ya kuwagawa watu na kuwaaminisha wafuasi wake kwamba watu wasiomfuata yeye ni wahaini wasioipenda nchi yao.True,kama hii issue ya Neo-Nazis na KKK,kwenye statement ya kwanza alizingua kidogo kwemye twitter,Ila alipofanya press,hahaha pale ndo niliamini huyu jamaa anajua kucheza na beat asee,Alikuwa akipangua maswali kiakili zana.Ilaa hii issue ya white supremacist DT inabidi awe makini sana,asipoangalia ataigawa nchi sana,japo hasa sasa hivi hali sio nzuri.But he still have time to can make things right.
kwani Rais Magufuli hana sifa hizo ?Vitu viwili ambavyo ni nadra kwa viongozi wetu ambavyo Donald anavyo.
1. He is a God fearing person, from his heart!
2. Ni mkweli na muwazi, anaheshimu watu wake wa karibu na kukubali ushauri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa kwa wenzetu mambo hayapo hivyo, ingekua nihuku kwetu sawa!!Ana maamuzi ya kukurupuka, achelewi kumweka Hilary ndani kama uchochezi
Daaa, magu anachokiongea ni kinyume na anachokifanya! Mchana yupo kanisani usiku yupo kwa waganga wa kienyeji kifupi ni mnafiki mno!kwani Rais Magufuli hana sifa hizo ?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
DuuuuuuuDaaa, magu anachokiongea ni kinyume na anachokifanya! Mchana yupo kanisani usiku yupo kwa waganga wa kienyeji kifupi ni mnafiki mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa anatenda yale anayosema la hasha angekuwa bonge la prez daa ila ni 'mnafiki' mzuri sana kiasi anajidisqualify kwenye mambo mengi mno!Duuuuuuu
Ina maana yohana nae anatumia African Chemistry.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app