Kama wewe tu
Kama wewe tu
Hakuna haja yakufanya hivyo musiba ni mwehuWahanga wake wachukue sheria mkononi tu hakuna jinsi nyingine.
Umechelewa sana kugundua haya,mataga.WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa
1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.
2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi
3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.
4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine
5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.
6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.
7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye
Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.
Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.
Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.
Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
Ila wa hawamu hii ni haibu.Musiba mwache atese kwa zamu jamani kila Enzi na zama zake.JK alikuwa na watu wake untachable( ingawa hawakuwa wajinga kama huyu) sasa huyu utafikiria mtoto walahi,ingekuwa ndugu yangu ningemkana kabisa kwani hana adabu saa nyingine bora Bashite akisemwa ananyamaza na kulia tunambebeleza
Alivyo na uzwazwa wake ni kutokana na JIWE alivyoMusiba mwache atese kwa zamu jamani kila Enzi na zama zake.JK alikuwa na watu wake untachable( ingawa hawakuwa wajinga kama huyu) sasa huyu utafikiria mtoto walahi,ingekuwa ndugu yangu ningemkana kabisa kwani hana adabu saa nyingine bora Bashite akisemwa ananyamaza na kulia tunambebeleza
Kigogo hana jipya ni kama kina Sarungi tu na Chahali atabwajabwaja mwisho atamaliza ujinga kama wenzake.Luna mtu anaitwa kigogo2014 huko Twitter amemvua nguo musiba
Hahaaaa.......Sukumia ndani MUSIBA
Ujue anajua watu wote wasiojulikanaAlivyo na uzwazwa wake ni kutokana na JIWE alivyo
If ur fool don't quote meKigogo hana jipya ni kama kina Sarungi tu na Chahali atabwajabwaja mwisho atamaliza ujinga kama wenzake.
Sio anajua ni mhusikaUjue anajua watu wote wasiojulikana
Nchi ngumu sana hii yani mtu anaita media kuwatangazia kuwa atamtia mtu ulemavu au kifo na bado anadunda mtaani vyombo vya ulinzi vikimuona Musiba vinaparallayze.Musiba mwache atese kwa zamu jamani kila Enzi na zama zake.JK alikuwa na watu wake untachable( ingawa hawakuwa wajinga kama huyu) sasa huyu utafikiria mtoto walahi,ingekuwa ndugu yangu ningemkana kabisa kwani hana adabu saa nyingine bora Bashite akisemwa ananyamaza na kulia tunambebeleza
Kumbe hapo ndiyo analinda taifa?Musiba ni usalama wa taifa
Ujue wanaogopa Kuna jiwe KUBWA nyuma yake. Sasa unataka polisi apate ngeuNchi ngumu sana hii yani mtu anaita media kuwatangazia kuwa atamtia mtu ulemavu au kifo na bado anadunda mtaani vyombo vya ulinzi vikimuona Musiba vinaparallayze.
Mbele ya Kigogo2014 Musiba kachutama kiutuzima kwa mara ya kwanzaLuna mtu anaitwa kigogo2014 huko Twitter amemvua nguo musiba
Musiba ndiyo mashine yenu mnayoiminia hapo sio?Kigogo hana jipya ni kama kina Sarungi tu na Chahali atabwajabwaja mwisho atamaliza ujinga kama wenzake.
Hivi yupo humu JF?anayemuweza ni #kigogo2014
Wewe mzururaji acha kuhusisha TISS namambo yenu ya kijingaMusiba ni fala kama fala wengine tu, anachofanya ni kuji-attach na Govt lakini hahusiki kabisa na utekaji.
Huyu anatupoteza tu boya.
Watekaji ni TISS hili liko wazi.
HahahaKumbe hapo ndiyo analinda taifa?