Cyprian Musiba mtuhumiwa namba moja

Cyprian Musiba mtuhumiwa namba moja

Anajipambanua mara nyingi amefanya kazi serikalini sana kila akihutubia nilikuwa serikalini. Anajivimbisha mkurya du watu wa mara kama wote mko kama musiba ni shida. Ningefurahi ningejua shuleni alikuwa na upeo kiasi gani maana si kwa kujiongeza kule.
Empty tu
 
kweli kabisa huyu kibaraka hatari
Wale wanao taka kujua maana ya kibaraka basi wanapata shule kutokana na huyu na inwezekana wale wanao mtuma uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawajui kma anawaharibia lakini kila biadamu huvuna alicho kipanda ''He thinks he is resourceful and intelligent instead he always run out of ideas''
 
Yumo kwenye kundi la wasiojulikana na kapewa go ahead na nduli na dikteta wa Ikulu aendeleze upuuzi anaoufanya na hakuna wa kumgusa. Ngoja tuone hii kesi ya Membe kama itamnyamazisha huyu mburula na kikaragosi cha dikteta.

Kiukweli katika zama hizi, anayoyafanya huyu mtu hadharani na bado asiguswe na yeyote inafikirisha sana!!!! Acha tuendelee kuufyata. Yana mwisho haya!!!!
 
Musiba ni fala kama fala wengine tu, anachofanya ni kuji-attach na Govt lakini hahusiki kabisa na utekaji.
Huyu anatupoteza tu boya.
Watekaji ni TISS hili liko wazi.
Anahusika. Kwani Wewe hujui kuwa Magazeti yake yanachapishwa kwenye Idara!!?
 
Musiba mwache atese kwa zamu jamani kila Enzi na zama zake.JK alikuwa na watu wake untachable( ingawa hawakuwa wajinga kama huyu) sasa huyu utafikiria mtoto walahi,ingekuwa ndugu yangu ningemkana kabisa kwani hana adabu saa nyingine bora Bashite akisemwa ananyamaza na kulia tunambebeleza
Hakuna Cha ubora wa Bashite wala Musiba, wote maji ga Nyanza. Ni terrorists kama wengine. Tatizo wanalindwa na dola.
 
Kiukweli katika zama hizi, anayoyafanya huyu mtu hadharani na bado asiguswe na yeyote inafikirisha sana!!!! Acha tuendelee kuufyata. Yana mwisho haya!!!!
"Musundi" huna boyfriend umshawishi atuondolee kadhia hii. Hayawezi kuwa na mwisho bila mtu kujitolea kwa vitendo.
 
WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa

1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.

2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi

3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.

4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine

5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.

6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.

7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye

Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.

Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.

Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.

Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
Musiba anatembea na gari tatu, zote ndogo. Katika hizo tatu huwezi jua kapanda ipi.
 
Madhara ya kuwa na msiba nchini ni makubwa kuliko kutokuwa nae
 
WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa

1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.

2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi

3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.

4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine

5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.

6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.

7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye

Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.

Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.

Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.

Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
He (Musiba) is just a decoy as far as I am concerned. While his purported enemy could as well be one of the henchman's proxies in [emoji207] skin.
 
Musiba mwache atese kwa zamu jamani kila Enzi na zama zake.JK alikuwa na watu wake untachable( ingawa hawakuwa wajinga kama huyu) sasa huyu utafikiria mtoto walahi,ingekuwa ndugu yangu ningemkana kabisa kwani hana adabu saa nyingine bora Bashite akisemwa ananyamaza na kulia tunambebeleza

Ana nyamaza analia tunambembeleza[emoji3]
 
Back
Top Bottom