Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,065
- 285,685
na hiyo ndio dawa ya haki .Wahanga wake wachukue sheria mkononi tu hakuna jinsi nyingine.

Anajipambanua mara nyingi amefanya kazi serikalini sana kila akihutubia nilikuwa serikalini. Anajivimbisha mkurya du watu wa mara kama wote mko kama musiba ni shida. Ningefurahi ningejua shuleni alikuwa na upeo kiasi gani maana si kwa kujiongeza kule.
Zee la magogoni limenuna kwa mmoja wapo wa mchepuko wake kushughulikiwa na jasusi mbobezi. Shule hamfikii! kimataifa lizee la magogo aka Jiwe halina ubavu hata wa mtoto mchanga. Jamaa ni trained Cuba, Israel and USSR halafu mzee wa msoga anachungulia dirishani ole wa mtu amguse broo kitawaka. TISS wako wa jasusi mbobezi na pro msoga kibao. Jiwe amebaki na makuli aliorecruit juzi hadi huruma!! Hebu tafakari hapa---TAL+BCM+JMK(msoga)+CAG+wapinzani wote Jiwe itabidi aagize mercenaries wa Rwanda!! Nao watachapwa tu!! Kumenoga et eh!!Safari hii musiba kafika kwa membe
Wote waliokashifiwa na musiba wameogopa hata kumpeleka mahakamani kwa kujua wazi
Huyu anatumiwa na wakubwa
Lkn kwa Mh Membe hapo musiba kaingia choo cha Maalbino[emoji3]
Membe alishawahi kuwa top of top ktk idara ya Usalama wa taifa,anaijua nchi nje ndani na ndio maana anaongea kitu akiwa na confidence saasana na kamburuza mahakamani musiba
Kwani vibaka tunawafanyaje mkuu?Wamfanyeje mkuu?

kama kila lisemwalo lapaswa kuwa na ushahidi basi kichaa leo ngekuwa ndaniHongera sana.
Ushahidi wa maneno ukoje mkuu? naomba msaada wako hapo.
Huyo jamaa anajisahau kabisa kuwa kuna kesho yakeWanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa
1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.
2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi
3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.
4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine
5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.
6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.
7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye
Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.
Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.
Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.
Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
Huyo na huyu mtu lao ni moja, ushahidi dhahiri kuwa Fatma kinachomponya ni kuwa mtoto wa A man Karume Rais mstaafu laa sivyo ya Lissu yangemkutaYumo kwenye kundi la wasiojulikana na kapewa go ahead na nduli na dikteta wa Ikulu aendeleze upuuzi anaoufanya na hakuna wa kumgusa. Ngoja tuone hii kesi ya Membe kama itamnyamazisha huyu mburula na kikaragosi cha dikteta.
kwa hiyo makonda hausiki, si ndiyo?WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa
1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.
2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi
3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.
4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine
5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.
6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.
7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye
Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.
Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.
Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.
Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
Naam, hapo umesema. Heshima ndio itarudiWahanga wake wachukue sheria mkononi tu hakuna jinsi nyingine.
Huyo na huyu mtu lao ni moja, ushahidi dhahiri kuwa Fatma kinachomponya ni kuwa mtoto wa A man Karume Rais mstaafu laa sivyo ya Lissu yangemkutaView attachment 1146972
[emoji4]WanaJF