Cyprian Musiba mtuhumiwa namba moja

Cyprian Musiba mtuhumiwa namba moja

Mkuu, mbona hapa sasa ni kama unamtonya?
si ungemshughulikia kimya kimya kama wafanyavyo wasiojulikana?
 
Musiba ni fala kama fala wengine tu, anachofanya ni kuji-attach na Govt lakini hahusiki kabisa na utekaji.
Huyu anatupoteza tu boya.
Watekaji ni TISS hili liko wazi.
Ni wale wale wala hakuna tofauti.
Wenzie wanaenda kimyakimya,
Ye kapewa kitengo cha kujitoa akili
 
Anajipambanua mara nyingi amefanya kazi serikalini sana kila akihutubia nilikuwa serikalini. Anajivimbisha mkurya du watu wa mara kama wote mko kama musiba ni shida. Ningefurahi ningejua shuleni alikuwa na upeo kiasi gani maana si kwa kujiongeza kule.
 
Hivi mshale ili uwe accurate ni umbali wa mita ngapi?
Hata mita mia mbili ni ubavu wako wa kuvuta na kulenga! Kuna kabila kati ya singida na arusha akilenga hakosei. Halafu akilenga anaangalia kinyume cha target yake!! Tunawahitaji hawa Kutuondolea mazuzume yanayotutesa! Sumu ipo karibu,
 
Hata mita mia mbili ni ubavu wako wa kuvuta na kulenga! Kuna kabila kati ya singida na arusha akilenga hakosei. Halafu akilenga anaangalia kinyume cha target yake!! Tunawahitaji hawa Kutuondolea mazuzume yanayotutesa! Sumu ipo karibu,
Dalili hizi zinaonesha Musiba anatumika na ametengeneza maadui wengi hivi hana familia?
 
WanaJF
Hili nimelifikiria muda mrefu sana na kwa ushahidi wa maneno na mazingira kuwa

1. Cyprian Musiba ni mtekaji aidha anahusika na utekaji wa watekaji wa wote au baadhi ya waliotekwa.

2. Cyprian ametamba mara nyingi kuwa ni mwanaharakati wa kujitegemea na anamtetea JPM. Kuwa wote wanaompinga JPM ni maadui wake na wa nchi

3. Cyprian Musiba ametumia vyombo vyake kuchafua bila huruma wote anaowahisi kuwa wanampinga JPM.

4. Cyprian Musiba hadi sasa ameshawachafua watu maarufu wote ambao wanatishia umaarufu wa JPM. Mifano ni Membe, Makamba, Lowasa, Bulemba, Kinana. wengine ni Mbowe Zito, Lema, Msigwa, Lissu. na wengine

5. Cyprian Musiba hajakemewa na yeyote pamoja na viashiria vyote vya kuvunja katiba na amani.

6. Cyprian Musiba amejipambanua zaidi juzi alipoahidi kumtia ulemavu au kifo yeyote anayempinga JPM.
Mimi ninatamka kuwa huyu ni mtekaji au anawajua watekaji wanaojiita wasiojulikana.

7. Cyprian Musiba anawajibika kuwajibu watanzania na ndugu za waathirika waliko wapendwa wao:
--Ben Saanane
--Azory Gwanda
-- Simon Kanguye

Ninawataka waathirika wamdai wapendwa wao huyu cyprian Musiba.

Ninawataka waathirika wamdai Cyprian Musiba maisha ya waliotekwa wakauawa na wasiojulikana.

Polisi wamekataa kumshughulikia Cyprian Musiba. Membe amempeleka mahakamani tungojee.

Huyu Musiba ni halali yetu jamani. Kama vyombo vya dola vimemshindwa kazi kwetu wananchi na haki yetu ya kujilinda!!
Uyo ukionana nae mtaani ni kuitia mwizi na kupiga hadi kufa
 
Huyu kijana alishavuka level ya ukichaa ( insanity) sasa ni zaidi ya mwendawazimu.

Huwezi kuongea mikauli migumu kama hiyo.

Eti ".nitamtia ukilema ama kumuua mtu anayempinga jiwe" over my dead body. Ila waTanzania wote tunaenda mbinguni. Ingekuwa hapo kwa wakisii sasa hivi dogo angekuwa anaimbiwa mapambio tu.
To hell with him
 
Back
Top Bottom