Lengo la kuwa cycle nini hasa?Free soul.. Jaribu kuwa na cycle because we are all connected.. To one thing or anythingView attachment 3580107
nimekuelewaWe are living souls not objects.. Somewhere.. Somehow you may need a hand to hold on..
uko sahihiSome cycles sio rasmi na sio permanent kwakuwa interest ni tofauti kulingana na majukwaa ..
๐๐ Napokea hii kwa unyenyekuvu mkubwa.. broLakini kwa mfano nikiona mada ya Red black popote sisiti kuweka kituo kwakuwa natambua huwezi kutoa boko๐
Don't be shywatu wa jokes na ucheshi,watu wa burudani na watu wa mambo ya kisayansi na mambo fikirishi
โsaiko la movie na screenshot wimbo usikilizao๐watu wa jokes na ucheshi,watu wa burudani na watu wa mambo ya kisayansi na mambo fikirishi
Ok, na ishu za umbea ๐Don't be shy
Malizia tu na ishu za umbea tunaweza kukuita ๐
Kwakweli sina list rasmi ya ElitesHebu weka hiyo list ya hao JF Elites hapa, na utaje wao ni elites kwenye maeneo (fields or niches) yapi. ๐๐ฝ
Hao wazee wa connection?
Kibongo bongo, neno 'connection' lishakuwa ni neno tata mno, hebu fafanua ni connection zipi?
๐ต๐ฃ๐ถ๐
Kama kawaida ๐โsaiko la movie na screenshot wimbo usikilizao๐