Kurt godel
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 317
- 174
Kwa watu Wote ambao wako interested Na virus,worm Trojans AndroidRAT, botnets,ransomware Na all in all cyber security waweza changia lolote ulilonalo hapa ndani tuka discuss Na kujadili
androidRAT ni kifupi cha Android remote access trojan. Kwa kirefu zaidi ni trojan ambaye anakupa access kwenye Android device yeyote Ile Na ana run kwenye background hvo cyo rahisi kuwa detected.Mfano kama unataka upate contacts za mtu, messages zake Uzi intercept,umrekodi kutumia front camera yake hyo Ndo kazi yake.lakini hayuko limited hapo tu source code yake iko github unaweza modify afanye kitu chochote(algorithmically conceivable)What is androidRAT??
LOLUSA ana hela ila in terms of skills Russia,Israel,China wanatisha sana
LOL nini toa hoja ka unakanusha kuwa kwenye cyber security china, Russia Na Israel wanatisha
good kwa kuona umuhimu wa uelewa juu ya haya mambo.Darasa zuri litanifungua namimi
USA ana hela ila in terms of skills Russia,Israel,China wanatisha sana
Bro mbna unachanganya ma file mara unaanza mambo ya monitoring kwamba sio kweli alfu baadaye unasema ni kweli.Paradoxes bro.Alfu nilivyosema skills nimeongelea hacking as in exploiting systems holes cyo signals intelligence.Marekani anamuelewa sana Russia ndo maana Vita vya pili vilipoisha alikimbilia kuchukua codebreakers wa kijerumani ku break za Russia.All in all nilivyosema skills nili judge based on public incidents sipendi ku consider covert operations maana zinaweza kuwa propaganda au conspiracy theorysiyo kweli USA ''NSA'' wana monitor internet dunia nzima,na mwaka jana mwishoni zilitolewa data kwamba marais wa nchi 120 duniani walikuwa monitored na CIA
NSA na CIA wanafuatilia nyendo za watumiaji internet kwa nchi nyingi sana ukiachilia mbali nchi ambazo wamefanya censor ship kama china,North Korea nk,kila unachofanya kwenye internet fahamu CIA wanaku monitor.
hivi unafahamu ni kwanini Tor browse na operating systems za ki ulinzi kama Tails,Qubes nk wana achia updates kila kukicha?Ni sababu CIA kila siku wana hack na kutafuta security flaws kwenye systems hizo ili kuwa deanonymize watumiaji wa system hizo ndio maana hizi security browsers na OS wanafanya updates kila mara
inakuwaje unasema interms of skills USA yupo nyuma kuliko nchi ulizozitaja?
wakati data zenu zote NSA wanafanya monitoring halafu CIA ndio wanao wakamata watukutu wa mitandao kwa kuwa deanonymize
NSA wana hack system za serikali za nchi karibia zote duniani kufuatilia nyendo za nchi mbali mbali na wana hack watumiaji wa internet dunia nzima kufuatilia nyendo zao
laiti ungefahamu NSA na CIA wanavyofanya mambo zao usingesema haya mambo.
kwenye hacking hakuna mbabe sababu kila system inayo loophole lakini USA yupo mbali sana na NSA kila siku wanawafanyia monitoring
kila siku NSA wanatizama na kuachia updates kwa siku mashambulizi mangapi yamefanyika duniani na nchi gani imeshambuliwa sana na imeshambuliwa na nchi gani sana..
nterms of cyber hakuna wakuifikia CIA na NSA
Angekua mbali angekubali ku hakiwa na urusi?kwenye hacking hakuna mbabe sababu kila system inayo loophole lakini USA yupo mbali sana,tena wapo mbali sana zaidi ya hao uliowataja
Usisahau kuwa kuna siasa ndani yake, mbona Russia anapomtumia Kerspersky mnakaa kimya.Angekua mbali angekubali ku hakiwa na urusi?