Cwt mbona kimya jamani tunaumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cwt mbona kimya jamani tunaumia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Feb 28, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wana JF Sisi walimu tunapata shida sana mpaka leo mshahara hakuna. Kweli Serikali ya Tz ipo kweli mbona Wabunge mishahara yao na posho zao ni hapo hapo kweli tutafika. Kwa nini Walimu tusitoroke na Kufanya TUITION au kukaa ofisini bila kufundisha.

  BADO SIKU CHACHE TU
   
Loading...