CWT kulikoni mbona kimya kuhusu mgomo walimu?

madam mbona huwa unachukia sana mtu akiponda ualimu?????and not other profeshen??? just asking....

Sio hvyo mkuu.
Unajua Twende mbele na kurudi nyuma hakuna Profeshen iliyo so cool na Imara kama walimu.
Bila walimu nadhani Mafisadi,Madaktar,Marais,Wabnge, na Mshenz wa aina yeyote asingeelimika.

Ila utakuta mtu kang'ang'ania Post inayomuhusu mwalimu mpaka Mshipa wa Mk***u unamtoka.

Halafu bora ajue kinachoendelea,
hajui Ba wala Be ilimradi na yeye aonekane 'Up2 dated' ktk Uchangiaji,
kumbe ni Mshamba tu asie jua Kuc**m*a.

mysteryman naomba niishie hapa,
Maana nackia harufu ya BAN!!
:israel::israel:
 
Last edited by a moderator:
Mgomo upo pale pale hakuna kitakachobadilisha na huu utakuwa practically oriented maana kama theoretically mgomo bado unaexist na hautafika kuisha labda system ibadilike huo ndio ukweli wenyewe wenye uchungu kama MADAME B kuhusu walimu ni wengi kwani tumekulia huko na tumeurithi si kwa kufeli mitihani ni kipaji tu kama watoto mafisadi ni mafisadi TUMECHO NA LIWALO NA LIWE KAMA PINDA ANAVYOTUAMBIA
 
Tunategemea tamko lenu cwt kama serikali haiongezi mshahara tugome acha mgomo baridi tuliofanya zamani,tunasubiri kwa hamu sana.

Matokeo ya mgomo baridi yalikuwa wanafunzi kutojua kusoma na Waliishiakuchora picha kwenye mtihani,siku hizi darasa la nne anajua mapenzi, wahitimu versity hawajui kitu..kweli walimu hatari.

je mgomo barini unaoanza tutegemee nini safari hii?:flypig:
 
Mgomo upo pale pale hakuna kitakachobadilisha na huu utakuwa practically oriented maana kama theoretically mgomo bado unaexist na hautafika kuisha labda system ibadilike huo ndio ukweli wenyewe wenye uchungu kama MADAME B kuhusu walimu ni wengi kwani tumekulia huko na tumeurithi si kwa kufeli mitihani ni kipaji tu kama watoto mafisadi ni mafisadi TUMECHO NA LIWALO NA LIWE KAMA PINDA ANAVYOTUAMBIA

Humohumo Mkuu.
Mgomo uko palepale.
LIWALO NA LIWE.
Tunafundisha kwa kipaji na si kwa dhiki.

Kama ingekuwa ni tamaa basi ningebaki ktk Wizara nyeti niliyokuwa nafanyia kazi awali.
 
Humohumo Mkuu.
Mgomo uko palepale.
LIWALO NA LIWE.
Tunafundisha kwa kipaji na si kwa dhiki.

Kama ingekuwa ni tamaa basi ningebaki ktk Wizara nyeti niliyokuwa nafanyia kazi awali.

mwalimu anaeweza kuzungumza hivyo, hawezi kudumu kwenye hiyo ajira, maana sio wa kwiba vyeti, kazi nzur mkuu
 
Acha dharau wewe.
Mbona wewe unalishwa na Mwanamke wako,
ukifukuzwa nani atakupokea.
Na wewe na Familia yako Dhaifu
Walimu wametutoa mbali acheni dharau. Nyie mnaodharau mna elimu ya kudesa, vichupi na za kafteria nani hajui. Kuelimika ni kustaarabika wandugu.
Mkuu slufay wapashe hao wanaojiita wasomi.
Wangekuwa wasomi wasingechangia kwa kebehi.
Tena Vi-pichu vilivyotoboka.

Nimetoka kifungoni na najua maumivu ya kufungiwa, nawashauri hii topic muiache manake mnakoelekea mtalishwa BAN.
 
Nimetoka kifungoni na najua maumivu ya kufungiwa, nawashauri hii topic muiache manake mnakoelekea mtalishwa BAN.

Genecius Kaiza acha tu Mkuu.
Kuna watu humu ni Vichaka vya Vyama.
Hasira za Posho za Wabunge + na ya Uli wanaleta kwenye Ualimu.
Mbona awahoji majina ya Mafisadi wenye Mabilioni ktk Akaunt kule kwa 'Weupe'?

Au ni Baba zao wa Kambo,faida na Mtaji kwa mama zao waliowazaa?

Where We Dare To Talk Openly
Utanisamehe bure.
 
Last edited by a moderator:
Kweli hii serikali ni sikivu .Rate ya wanaojiunga darasa la saba bilakjua kusoma na kuandika inazidi kuongeza,aslimia 95 ya wanaomaliza kidato cha 4 either wanapata DIV4 chafu au zero, kidato cha pili mwaka jana kama ule utaratibu ewa kurudia ungekuwepo si chini ya 80% wangerudia .Wanihitaji indicator hipi wajiridhishe mgomo haupo.KILICHOPO KWA SASA NI mgomo baridi ambayo great impact yake just few years to come itaoonekana dhahiri bin shairi.HADI KUFIKIA KESHO HATA KAMA TAMKO LISITOLEWE MGOMO UPO PALE PALE .WANACHEZA NA MADAKTARI WA AKILI NA AFTER ALL WANACHIMBIA KABURI WAO WENYEWE 2015 HAWA FAILURES WOTE NI WAPIGA KURA NA KUFELI KWA MCHAWI WANAMTAMBUA.LET`S WAIT AND SEE

source:mimi mwenyewe nipo kwenye field
 
Sio hvyo mkuu.
Unajua Twende mbele na kurudi nyuma hakuna Profeshen iliyo so cool na Imara kama walimu.
Bila walimu nadhani Mafisadi,Madaktar,Marais,Wabnge, na Mshenz wa aina yeyote asingeelimika.

Ila utakuta mtu kang'ang'ania Post inayomuhusu mwalimu mpaka Mshipa wa Mk***u unamtoka.

Halafu bora ajue kinachoendelea,
hajui Ba wala Be ilimradi na yeye aonekane 'Up2 dated' ktk Uchangiaji,
kumbe ni Mshamba tu asie jua Kuc**m*a.

mysteryman naomba niishie hapa,
Maana nackia harufu ya BAN!!
:israel::israel:

punguza hasira mkuu, humu kuna kila aina ya mbegu.Unaweza kujikuta siku yako inaharibika bure
 
Kweli hii serikali ni sikivu .Rate ya wanaojiunga darasa la saba bilakjua kusoma na kuandika inazidi kuongeza,aslimia 95 ya wanaomaliza kidato cha 4 either wanapata DIV4 chafu au zero, kidato cha pili mwaka jana kama ule utaratibu ewa kurudia ungekuwepo si chini ya 80% wangerudia .Wanihitaji indicator hipi wajiridhishe mgomo haupo.KILICHOPO KWA SASA NI mgomo baridi ambayo great impact yake just few years to come itaoonekana dhahiri bin shairi.HADI KUFIKIA KESHO HATA KAMA TAMKO LISITOLEWE MGOMO UPO PALE PALE .WANACHEZA NA MADAKTARI WA AKILI NA AFTER ALL WANACHIMBIA KABURI WAO WENYEWE 2015 HAWA FAILURES WOTE NI WAPIGA KURA NA KUFELI KWA MCHAWI WANAMTAMBUA.LET`S WAIT AND SEE

source:mimi mwenyewe nipo kwenye field

NAKUUNGA MKONO,MGUU NA PAJA.
Uko Right master gland,Shenz zao
 
naanza kushindwa kutofautisha uwezo wa kufikilia wa baadhi ya ember wa FB na JF
 
Hizo chance zina watu mzee watakaoenda kufanya SENSA ni walewale Kama ilivyo kwenye kusahisha na kusimamia mitihani usipokuwa Mtu wao hupati hizi deal so kwa wengine sio issue... Mkuu wangu alishanipendekeza DEO akanikata, hizi chance wanapewa kwa kujuana..sio ka hawagomi kuhofia hizo kazi coz hata tusipogoma wanapewa walimu walewale, tatizo kuu hapa ni CWT na sio vinginevyo

yaani @mchnganishi haya maswala ya CWT nilishaeleza hapa jamvini kwa ufasaha sana ila kuna watu humu wanatuona kama vile sisi waaalim tunasubiria dezo za serikali na pia kama hatuna mchango kwa serikali na kubwa kulio yote isi ni wajinaga wa mwisho katika taifa hili.

ukweli n kwamba tutagoma na CWT lazima tuivunje mkoba arudi akashike chaki ili aone raha. 2% ya mshahara kila mwl ni kubwa sana and hakuna chochote tunachokipata kama wanachama hivi kweli mkoba yuko seriaz
 
Walimu waoga sana! Hawawezi kugoma wanaogopa pori la mwabepande!
 
Chezea vyeti feki wewe. Wenye vyeti vya ukweli wameishia mabwe pande na sasa tiba kama kawa sembuse vyeti feki. Hao hawawezi na dhaifu anawasubiri kwa ham sana wakithubutu tu 75% hawana ajira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom