Mwanahabari Huru JF-Expert Member Mar 9, 2015 14,243 34,899 Oct 30, 2017 #1 CWT wilayani Hai, kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC, Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu
CWT wilayani Hai, kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC, Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu
balimar JF-Expert Member Sep 18, 2015 7,563 13,276 Oct 30, 2017 #3 Hofu ya Chakamwata hiyo Si lolote hawa jamaa Nyongeza ya mishahara jamaa kalala nayo mbele wao wapi kimyaaaa a.k.a wamenyutiii!!!!
Hofu ya Chakamwata hiyo Si lolote hawa jamaa Nyongeza ya mishahara jamaa kalala nayo mbele wao wapi kimyaaaa a.k.a wamenyutiii!!!!
nozzah Member Sep 16, 2016 63 76 Oct 30, 2017 #4 Hivi huyu jamaa alishavuliwa udc...?kweli cheo dhamana
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,863 93,648 Oct 30, 2017 #5 Huyu kawa RC baada ya kumnyanyasa Mbowe.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,863 93,648 Oct 30, 2017 #7 Wanapoteza muda wao bure.
Chakaza JF-Expert Member Mar 10, 2007 39,802 71,229 Oct 30, 2017 #8 Habari ya mjini ni Nyalandu kuwatosa tuu
S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 21,563 50,415 Oct 30, 2017 #9 Babati said: Huyu kawa RC baada ya kumnyanyasa Mbowe. Click to expand... DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!!
Babati said: Huyu kawa RC baada ya kumnyanyasa Mbowe. Click to expand... DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,863 93,648 Oct 30, 2017 #10 Sexless said: DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!! Click to expand... Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara.
Sexless said: DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!! Click to expand... Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara.
S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 21,563 50,415 Oct 30, 2017 #11 Babati said: Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara. Click to expand... Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni.
Babati said: Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara. Click to expand... Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,863 93,648 Oct 30, 2017 #12 Sexless said: Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni. Click to expand... Aliogopa kumalizia vizuri hapa kuna tusi linahitajika badala ya washamba na malimbukeni.
Sexless said: Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni. Click to expand... Aliogopa kumalizia vizuri hapa kuna tusi linahitajika badala ya washamba na malimbukeni.