CWT Hai kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,508
Likes
27,436
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,508 27,436 280
CWT wilayani Hai, kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC, Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu

dc-jpg.620583
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,095
Likes
9,374
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,095 9,374 280
Kisiishie kupanga tu.
 
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
3,476
Likes
4,327
Points
280
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
3,476 4,327 280
Hofu ya Chakamwata hiyo
Si lolote hawa jamaa
Nyongeza ya mishahara jamaa kalala nayo mbele wao wapi kimyaaaa a.k.a wamenyutiii!!!!
 
nozzah

nozzah

Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
58
Likes
69
Points
25
Age
36
nozzah

nozzah

Member
Joined Sep 16, 2016
58 69 25
Hivi huyu jamaa alishavuliwa udc...?kweli cheo dhamana
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Huyu kawa RC baada ya kumnyanyasa Mbowe.
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,682
Likes
5,529
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,682 5,529 280
Mipango sii matumizi
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,274
Likes
30,631
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,274 30,631 280
Habari ya mjini ni Nyalandu kuwatosa tuu
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!!
Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni.
Aliogopa kumalizia vizuri hapa kuna tusi linahitajika badala ya washamba na malimbukeni.
 

Forum statistics

Threads 1,236,822
Members 475,301
Posts 29,269,023