CWT Hai kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
CWT wilayani Hai, kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC, Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu

dc.jpg
 
Hofu ya Chakamwata hiyo
Si lolote hawa jamaa
Nyongeza ya mishahara jamaa kalala nayo mbele wao wapi kimyaaaa a.k.a wamenyutiii!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom