Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
CWT wilayani Hai, kimepanga kumfikisha Mahakamani aliyekuwa DC, Gilasius Byakanwa kwa kugoma kuomba radhi kwa kudhalilisha walimu
DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!!Huyu kawa RC baada ya kumnyanyasa Mbowe.
Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara.DC aliyeharjbu miundombinu ya shamba la Mbowe kapewa u-RC?? Wacha mkuu..!!? Kweli?!!
Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni.Waropokaji wote wamepanda madaraja, kawa RC Mtwara.
Aliogopa kumalizia vizuri hapa kuna tusi linahitajika badala ya washamba na malimbukeni.Kweli Zitto alikuwa sahihi, aliposema nchi iko mikononi mwa washamba na malimbukeni.