Chenge went to Harvard-arguably baba ya varsities zoooooote duniani
Kigoda went to Vanderbilt
Mkapa went to Columbia
Nkullo went to UCLA
...lakini angalia porojo na madudu yao.....For African politicians hata wawe Ivy League-educated elimu yao haiwasaidii sababu ya kuendekeza njaa kwanza.
Kumbuka kuna usemi "Artificial intelligence is no match to natural stupidity"
There are a lot of fools nowadays hiding behind the impeccable credentials obtained from the institutions with big names.
So huyo bwana mkubwa Nundu, sina maneno nasubiri utendaji wake wa kazi then tutaona.
Ahsante
Huyu ni Mbunge wa Tanag mjini, nadhani hii CV yake niyazamani kidogo, imeacha kutaja experience alipo kuwa Canada kikazi, tumpe pongezi Raisi kuona hizi talent.
Mheshimiwa waziri cv tumeiona na tumekubali, tunasubiri uchapakaji kazi wako ndio tuku jaji, kazi njema Mkuu
Kweli kaka hizi elimu hata haziwasaidii
Tatizo liko kwetu sisi Watanzania, tunapenda sana vyeti na yoyote akishapa cheti kilichosimama ana bweteka.Chenge went to Harvard-arguably baba ya varsities zoooooote duniani
Kigoda went to Vanderbilt
Mkapa went to Columbia
Nkullo went to UCLA
...lakini angalia porojo na madudu yao.....For African politicians hata wawe Ivy League-educated elimu yao haiwasaidii sababu ya kuendekeza njaa kwanza.
Kumbuka kuna usemi "Artificial intelligence is no match to natural stupidity"
There are a lot of fools nowadays hiding behind the impeccable credentials obtained from the institutions with big names.
So huyo bwana mkubwa Nundu, sina maneno nasubiri utendaji wake wa kazi then tutaona.
Ahsante
Kwa Tanzania CV na utendaji havina uhusiano. Kwa hiyo siwezi kumjaji waziri mpaka aingie kazini kwanza.
du, jamaa yuko sawa upstairs kinyama, hasa kwenye tathnia ya aviation. how good!
nundu ni mbunge wa jimbo gani? Hongera zake nazitoa kwa yeye kuweza ku-survive miaka yoooote katika industry aliyopo...maana ukimwi ulishika hatamu sekta...