CV's za mawaziri wapya: Eng. Omar R. Nundu

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Messages
1,493
Likes
44
Points
145

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2010
1,493 44 145
NAME: Omari Rashid NUNDU

DATE OF BIRTH: 6th. August, 1948

NATIONALITY: Tanzanian

MARITAL STATUS: Married with four adult children
.
UNIVERSITY EDUCATION AND ACADEMIC INTEREST

· BSc (Hons) in Aeronautical Engineering - Glasgow University (1971-75)
Final year Honours majors included:
1. Mathematics 1V,
2. Aerospace Dynamics 1V,
3. Fluid Mechanics 1V,
4. Aerospace Structures 1V and
5. Gas Dynamics and Thermodynamic Machines 1V.
Final Year Honours Dissertation: “Turbulent Airflows Around Buildings"

· MSc in Air Transport Engineering - Cranfield University (1978/79)

Thesis: " The Measurement and Control of Airliner Fleet Dispatch Availability"

· Current Research work: “Optimisation of Air Traffic Flows under Free Flight Concept in All Phases of Flight”

2.0 WORKING EXPERIENCE

· 2008: President of the Air Navigation Commission

  • 2007: First Vice President of the Air Navigation Commission.

· 2006 – to date: Member of the Air Navigation Commission.

· 2004 – 2005: Observer on the Air Navigation Commission

· November 2003 – to date: Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to ICAO

· November 2002 – to date: Director of International Affairs, Tanzania Civil Aviation Authority.

  • April 1992 - October 2002: Head of Civil Aviation Sector, Southern African Development Community (SADC).

· May 1989 to 31 March 1992: Senior Management Consultant responsible for the aviation programme, Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI).

· 1982 – May 1989: Director/Co-ordinator of Special Projects and Project Manager of Kilimanjaro Aircraft Maintenance Facilities (KIMAFA)

· 1977 – 1982: Superintendent Technical Planning and Services, Air Tanzania Corporation.

· 1975 – 1977: Aircraft Maintenance Engineer and Planning & Development Engineer, East African Airways Corporation

· October 1975: Assistant Executive Engineer (aircraft), Ministry of Transport and Communications, Tanzania..

LEADERSHIP ROLES

· Chairman of Tanzania Education Support Association (April 2008 – to date)
· President of Montreal Tanzanians Association (May 2007 – to date)
· President of the ICAO Air Navigation Commission (January 2008 – to date)
· Vice President of ICAO Air Navigation Commission (2007)
· Coordinator of Ad-hoc Working Groups of the Air Navigation Commission (2007)
· Vice Chairman of Finance Committee of the ICAO Council (2005)
· Member of Senior Management Team at Air Tanzania Corporation(1977-1989), ESAMI (1990 - 1991) and Southern Africa Transport and Communication – Technical Unit (1992 – 2002)
· Member of Academic Board of ESAMI (1991)
· Chief Executive Officer of KIMAFA (1982 – 1989)
· Chairman of Tanzanian Students Association, Glasgow Branch (1974)
· Head Prefect in each of the three schools he attended – Mwakidila Primary School(1960), Marten's Shamba Middle School (1964) and Karimjee Secondary School (1969/70).

Nawakilisha jamani, kwani usilolijuwa ni kama usiku wa giza.
 
SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,316
Likes
2,606
Points
280

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,316 2,606 280
Chenge went to Harvard-arguably baba ya varsities zoooooote duniani
Kigoda went to Vanderbilt
Mkapa went to Columbia
Nkullo went to UCLA
...lakini angalia porojo na madudu yao.....For African politicians hata wawe Ivy League-educated elimu yao haiwasaidii sababu ya kuendekeza njaa kwanza.
Kumbuka kuna usemi "Artificial intelligence is no match to natural stupidity"
There are a lot of fools nowadays hiding behind the impeccable credentials obtained from the institutions with big names.
So huyo bwana mkubwa Nundu, sina maneno nasubiri utendaji wake wa kazi then tutaona.
Ahsante
 
Bull

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2008
Messages
984
Likes
0
Points
0

Bull

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2008
984 0 0
Huyu ni Mbunge wa Tanag mjini, nadhani hii CV yake niyazamani kidogo, imeacha kutaja experience alipo kuwa Canada kikazi, tumpe pongezi Raisi kuona hizi talent.

Mheshimiwa waziri cv tumeiona na tumekubali, tunasubiri uchapakaji kazi wako ndio tuku jaji, kazi njema Mkuu
 
samora10

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2010
Messages
7,024
Likes
1,994
Points
280

samora10

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2010
7,024 1,994 280
Chenge went to Harvard-arguably baba ya varsities zoooooote duniani
Kigoda went to Vanderbilt
Mkapa went to Columbia
Nkullo went to UCLA
...lakini angalia porojo na madudu yao.....For African politicians hata wawe Ivy League-educated elimu yao haiwasaidii sababu ya kuendekeza njaa kwanza.
Kumbuka kuna usemi "Artificial intelligence is no match to natural stupidity"
There are a lot of fools nowadays hiding behind the impeccable credentials obtained from the institutions with big names.
So huyo bwana mkubwa Nundu, sina maneno nasubiri utendaji wake wa kazi then tutaona.
Ahsante
Kweli kaka hizi elimu hata haziwasaidii
 
KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
Unajua tatizo sio cv tatizo ni utendaji walikuwa wengi wenye cv kama hizo lakini tatizo wako kwenye siasa za ndiyo mzee kwa hiyo ule ubora wao huwezi kutumika kwenye nafasi ya uwaziri maana anatetea ulaji wake,wa bosi ,na ccm. Tatizo hapa ni katiba ingekuwa katiba kama ya kenya mbunge asiwe waziri ukweli cv kama ya jamaa ingeleta tija sana kwa nafasi yake.
 
m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Messages
1,493
Likes
44
Points
145

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2010
1,493 44 145
Huyu ni Mbunge wa Tanag mjini, nadhani hii CV yake niyazamani kidogo, imeacha kutaja experience alipo kuwa Canada kikazi, tumpe pongezi Raisi kuona hizi talent.

Mheshimiwa waziri cv tumeiona na tumekubali, tunasubiri uchapakaji kazi wako ndio tuku jaji, kazi njema Mkuu
Bull soma vizuri hiyo CV, kwani imejumlisha mpaka mambo aliyoyafanya huko Canada.
 
m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Messages
1,493
Likes
44
Points
145

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2010
1,493 44 145
Kweli kaka hizi elimu hata haziwasaidii
Nakubaliana na mawazo ya wengi kuhusu hoja hiyo kwamba elimu sio kigezo, bali utendaki kazi wa mtu. Haswa kutokana uzoefu wa hawa viongozi wetu ambao wame-attend hizi ELITE/PRESTIGIOUS School. Lakini mimi binafsi nimekuwa naepuka sasa GENERALIZATION, haswa inapokuja kwa BINAADAM.

Mr. Nundu ni mchapakazi na mwenye DISCPLINE ya hali ya juu sana, haswa inapokuja kwenye utendaji kazi. Ni matumaini yangu kwamba atatoa mchango mkubwa sana katika Taifa letu.
nundu2.JPG
 
babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,066
Likes
1,078
Points
280

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,066 1,078 280
Chenge went to Harvard-arguably baba ya varsities zoooooote duniani
Kigoda went to Vanderbilt
Mkapa went to Columbia
Nkullo went to UCLA
...lakini angalia porojo na madudu yao.....For African politicians hata wawe Ivy League-educated elimu yao haiwasaidii sababu ya kuendekeza njaa kwanza.
Kumbuka kuna usemi "Artificial intelligence is no match to natural stupidity"
There are a lot of fools nowadays hiding behind the impeccable credentials obtained from the institutions with big names.
So huyo bwana mkubwa Nundu, sina maneno nasubiri utendaji wake wa kazi then tutaona.
Ahsante
Tatizo liko kwetu sisi Watanzania, tunapenda sana vyeti na yoyote akishapa cheti kilichosimama ana bweteka.
 
m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Messages
1,493
Likes
44
Points
145

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2010
1,493 44 145
Kwa Tanzania CV na utendaji havina uhusiano. Kwa hiyo siwezi kumjaji waziri mpaka aingie kazini kwanza.

2.0 WORKING EXPERIENCE· 2008: President of the Air Navigation Commission

  • 2007: First Vice President of the Air Navigation Commission.
· 2006 – to date: Member of the Air Navigation Commission.

· 2004 – 2005: Observer on the Air Navigation Commission

· November 2003 – to date: Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to ICAO

· November 2002 – to date: Director of International Affairs, Tanzania Civil Aviation Authority.

  • April 1992 - October 2002: Head of Civil Aviation Sector, Southern African Development Community (SADC).
· May 1989 to 31 March 1992: Senior Management Consultant responsible for the aviation programme, Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI).

· 1982 – May 1989: Director/Co-ordinator of Special Projects and Project Manager of Kilimanjaro Aircraft Maintenance Facilities (KIMAFA)

· 1977 – 1982: Superintendent Technical Planning and Services, Air Tanzania Corporation.

· 1975 – 1977: Aircraft Maintenance Engineer and Planning & Development Engineer, East African Airways Corporation

· October 1975: Assistant Executive Engineer (aircraft), Ministry of Transport and Communications, Tanzania..

#Gosbertgoodluck najuwa kwamba mguu ilioumwa na nyoka hushituliwa hata na majani, lakini seriously,hebu angalia working experience ya Mr. Nundu toka alipokuwa East African Airways (1975) hadi huko ICAO makao makuu (2002-2010 Canada) halafu ndio utie neno. Halafu cha zaidi ni kwamba, sio kazi za kusoma na kusaini reports tuu (Administration), bali nyingi ni very technical, na ambazo kama huna nidhamu ya kazi, basi maafa yake ni makubwa sana katika jamii.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
38,388
Likes
7,329
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
38,388 7,329 280
du, jamaa yuko sawa upstairs kinyama, hasa kwenye tathnia ya aviation. how good!
pk huyu jamaa ni noma
afai aliwakimbiza TCAA atarri watu wakakaa kwa adabu...kulikuwa na visheria vya kulindana kwenye anga watu wanaruka na license zimexpire kisa mtu fulan karuhusu akatoa huu upuuzi leo hii wana adabu kila kona viali vya kishenz alikuwa anachunguza mpaka basi......ombi langu tu asikubali kuburutwa na wanaharamia wa ANGA akawa hana tofauti na mjomba wake kikwete AHSANTE KALAMBWA
 
Forum statistics

Threads 1,204,758
Members 457,436
Posts 28,168,962