Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
udini tuu huu. Eti anavaa kilemba? Acheni udini huo chadema
naona umeng'ang'ania udini sijui ili upate nini.....muulize huyo sungura aseme ni dini gani inayoruhusu mbunge wa viti maalum anayewakilisha wanawake akaruhusiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mwanamke mwenzie?.
 
2015 tutakupa wewe,inaonyesha kuwa u kichwa sana
 
2015 tutakupa wewe,inaonyesha kuwa u kichwa sana
mimi siamini katika viti vya msaada hivyo. Nitagomrea jimbo.....wala siuwezi ubunge wa kuupata kwa kuunganisha viungo vya uzazi.
 
mimi nimeolewa na ninajiheshimu..sio kama mbunge huyo anayeweza kulala kitandani akiwa uchi wa mnyama na mume wa mwanamke mwenzie...

Naomba unisahihishe kama niko wrong.Inaelekea mh.Mbunge alishawahi lala na mumeo.Na sasa umeamua kumutolea uvivu kupitia JF.
 
Kwa hiyo abaki nyumbani cv aipeleke bungeni mana ndiyo inayofanya kazi usiwe kichwa maji bwana. Weka ya kwako basi kwanza tuichambue.
 
Hivi watu wakiambiwa waandike CV ndo hiwa wanaadnika hivi? No wonder watanzania tumekuwa tukifeli kila sehemu! Maana sioni mtu kama huyu akienda kwenye interview atawasilisha CV gani?
 
Kumbe unamfahamu vizuri, si utuwekee CV yake hapa?
 
Naomba unisahihishe kama niko wrong.Inaelekea mh.Mbunge alishawahi lala na mumeo.Na sasa umeamua kumutolea uvivu kupitia JF.

mume wangu anajielewa.
ameshalala na analala kila siku na mama uchaguzi.
 
Hivi watu wakiambiwa waandike CV ndo hiwa wanaadnika hivi? No wonder watanzania tumekuwa tukifeli kila sehemu! Maana sioni mtu kama huyu akienda kwenye interview atawasilisha CV gani?

sasa unafikiri sungura atakuwa na CV gani zaidi ya hiyo ya kugawa LUSWEGE tu.
au kwenu nyinyi mbunge wa kike anaruhusiwa kuwa na mahusiano na mume wa mtu kama huyu sungura anavyohangaika na baba uchaguzi.
 
mimi nimeolewa na ninajiheshimu..sio kama mbunge huyo anayeweza kulala kitandani akiwa uchi wa mnyama na mume wa mwanamke mwenzie...
Naona sasa umeamua kumwaga CV yake.... Endeleeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Ni mmoja ya wanawake wachache jasiri waliojitokeza hadharani na kijitambulisha Kama wanacdm, don't discourage them!!
eumb,
Yani mtu kuja hapa JF na ID isyojulikana ndiyo amejitokeza hadharani? No No No! Tena BIG NO! Kama ni jasiri aitishe vyombo vya habari aeleze hayo anayoyasema. Kwanza sisi CDM hatuna Kiongozi hadi ngazi ya Kata nchini aneitwa Inocensia

TUMBIRI wa JF
 
Uko sahihi kabisa, ningependa Kitila Mkumbo achukue notes, haipendezi kuwe na hizi kasoro, tunaelewa kuwa sio kila mahali mtapatia kwa asilimia 100 ila kwa hizi kasoro kunatakiwa umakini wa ziada katika kuzishughulikia

Acha kubeba na kuwapa watu vyeo visivyowastahili,

Ndugu Kitila please take note!
 
Naona sasa umeamua kumwaga CV yake.... Endeleeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaa!
mbona mambo yote yapo hadharani
najiandaa kwenda kuzibandika picha nilizowapiga siku wanakura uroda garini pale chadema makao makuu ili kila atakayeingia ofisini ajionee.
 
Inocensia,
Kwa hiyo umefurahi sasa? Ulichokuwa unataka kuleta hapa JF ndio hicho?. Haya mwambie Mods afunge thread ulichokuwa unataka ulishakipata..

TUMBIRI wa JF
 
tatzo watu walitaka kuhamisha upuuzi wa kiraza kama huyu sungura kuupeleka kwenye chama.
chadema ni chama makini na hakipaswi kuwa na wabunge kama hawa wanaoishi kwa kutegemea mbunye.
 
Inocensia,
Kwa hiyo umefurahi sasa? Ulichokuwa unataka kuleta hapa JF ndio hicho?. Haya mwambie Mods afunge thread ulichokuwa unataka ulishakipata..

TUMBIRI wa JF

naona hii thread inakuumiza sana roho.
una mahusiano ya karibu na sungura na komu nini?. au unaogopa mama uchaguzi asijekusoma hapa mtandaoni akaujua usaliti wa mumewe.
 
mbona mambo yote yapo hadharani
najiandaa kwenda kuzibandika picha nilizowapiga siku wanakura uroda garini pale chadema makao makuu ili kila atakayeingia ofisini ajionee.

Sasa hapa tunapoteza mwelekeo.Badala ya kupeana habari za msingi za M4C, wewe unatuletea issue za udaku na za uswahilini.Kwani huyu mdada kakukosea nini wewe?.Bifu zenu za udako na uroda zifanyike huko uswahilini na sio ndani ya JF.Usipokaa sawa chuki zitakudidimiza kifikra na kimaendeleo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…