CV za Viongozi, does it matter?

CV za Viongozi, does it matter?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Hello JF,

Ni utamaduni viongozi wa serikali wakichaguliwa...humu JF zinajaa requests za kutaka kuona CV yake.

Wakati tumeshuhudia serikali iliyopita ilijaa ma proffessors

And yet,walikua passive ...

Mabubu kwa kiongozi aliyewachagua,

Na mtu aliyeishia darasa la saba kama Msukuma kuwa BOLD....

So qualifications sio cha muhimu,lol

Its time we have fair representantion in the government;la saba,form four/six graduate and post graduates...lol

Mkinipopoa sirudi..lol
 
Kwa Tanzania it doesn't... Kikubwa uwe na kadi ya chama
 
Unavyozid kuwa msomi sana ndio unavyozidi kuwa mjinga, ndio maana wenye digrii 1 au ndio wana unafuu na wachakarikaji kuliko ma dr na ma prof, CV sio muhimu tanzania hao maprof na madr wabebe vitini wakafundishe tumeshudia hawana msaada kwenye kujenga nchi zaidi ya kunyenyekea watawala tu
 
Hello JF,

Ni utamaduni viongozi wa serikali wakichaguliwa...humu JF zinajaa requests za kutaka kuona CV yake.

Wakati tumeshuhudia serikali iliyopita ilijaa ma proffessors

And yet,walikua passive ...

Mabubu kwa kiongozi aliyewachagua,

Na mtu aliyeishia darasa la saba kama Msukuma kuwa BOLD....

So qualifications sio cha muhimu,lol

Its time we have fair representantion in the government;la saba,form four/six graduate and post graduates...lol

Mkinipopoa sirudi..lol
Ndio sababu Mtendaji Mkuu wa TPDC siyo lazima ajue chochote kile.
 
It does not matter ..nakupa mfano doto biteko ni waziri wa madini lkn professional yake sio madini lkn. Ameweza kuingoza iyo wizara ya madini

Waziri wa nishati na naibu waziri wake bw.Byabato hawa wote ni Lawyers by professional lkn.wana simamia wizara ya nishati vizuri tu
Tuseme Tz tunajipa ugonjwa wa kitu tunaita eti experience tusipo andaa vijana wa kuja kuchukua nafasi za hao wenye experience bac ni wazi tuna waandalia nqfasi izo za ajira raia wa mataifa mengine kamanKenya, uganda, rwanda, n.k
 
Ma Prof na ma Dr utendaji wao ni zero maana huwa wamezoea kufundisha na hawana uzoefu wa administration na management, so ukiwaweka na mwenye bachelor lazima wawe chali
 
Back
Top Bottom