Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF,
Mara mtu akipata 'uteuzi' utaona huku Jamii Forums threads kibao 'tunaomba CV yake''
For what?
Maprofessor ndio wametufikisha hapa…
Hawajui narudia hawajui lolote zaidi ya theories walizosomea ambazo in current/Modern world zimepitwa na wakati…! LOL
Mkuu inabidi uangalie beyond CV nzuri, kwangu mimi yes Professor ni good qualifications because it means determination/Persistence/Discipline/Perseverance...
Ila kama qualifications zao hazijaweza kuwa creative na kutoa wanafunzi ..Innovators..then this is the proof tosha kuwa wasiwekwe kwenye serikali yako...
Kama unataka kuchukua professor yeyote then panua wigo,Maprofessor wale ambao wamejiajiri ndani ama nje ya taaluma zao...ndio wapewe priority...
yes,
hao wana uzoefu na 'field' hivyo watakushauri vizuri...
Rich-get-Richer theory...lol
Kwa mfano,ungemchukua Bakhresa ama MO dewj,ukawaweka kwenye serikali yako...wangetoa uzoefu vizurii...
Ndio ni matajiri,ila technically utapata ujuzi..as they are in know-how catergory...
Mama Ntilie aliyedumu kwenye kazi yake kwa miaka 15 anaijua biashara kuliko fresh graduate aliyejaza theories kichwani mwake...
nachotaka kusema ni kutoangalia CV peke yake bila kuangalia experience especially experience ya kujiajiri itumike kama chambo kwenye ku screen watu kwa ajili ya kazi
Karibuni,
Nyie mnaosema najimwambafai..subirini hapo hapo..ninajimwambafai kwa raha zangu, So long as Maxence Mello na wadau wake wanaliendesha hili jukwaa...mxieeeeeew