CV yangu kimapenzi...

Hehe sasa na majonzi kanitoka kipenzi wangu "Amy Winehouse"...nasikitika sijaitwa kwenye Janga la Norway.....hahahaha Unajua nyie Watanzania nyie swala la umeme mnalichukulia mchezomchezo tu hahaa....Nilifurahi sana mwandishi wa Bibisi nilipombwaga na maswali yake......sasa najifunza kuogelea visiwa vya marta na kumwona rafiki yangu Kipenzi...
Hahahaha! Hata hvyo inabidi mnishukuru sana kwa hizi safari zangu za mara kwa mara, vinginevyo mngekufa na njaa!..we fikiria nisingeenda USA kipindi kile mngepata wapi net za bure?...lol...
 
Hahahaha! Hata hvyo inabidi mnishukuru sana kwa hizi safari zangu za mara kwa mara, vinginevyo mngekufa na njaa!..we fikiria nisingeenda USA kipindi kile mngepata wapi net za bure?...lol...

watanzania nyie mnamambo sana...mimi ni rais wa kwanza Africa kukutana na Obama nani anabisha,(anacheka), juzi niliwaambia wana Kigamboni, nashangaa sana waandishi wa habari eti wanasema Kigamboni nimempa rafiki yangu Bush,(anacheka), ujue bwana Kigamboni itakuwa kama Dubai....Kesho nilitaka kwenda China lkn Ambulance yangu waliiwekea mafuta fake...

hahahaha kumbe wewe ndo ulileta Net zile? mbona ni mbili kwa mbili?(anacheka), watanzania inabidi tubane matumizi....
 
ati magu kwa nini huwagi serious ukiongelea jambo lolote?? Hivi lini unaenda barcelona kuchukua jezi mpya??

hehehe harafu nyie waandishi wa habari nyie? wewe ni memba wa Jamii Forums eh...nanyie muwe mnachunguza kwanza sio kusema tuu...Serikali haiwezi kuleta Usiriasi kama wananchi wenyewe sio siriasi...angalia tarime wale wote viherehere tu, wewe unaona kuna bunduki unasogea, kuwa siriasi kila wakati...mwenye swali jingine? wewe gazeti gani kwanza?
 
Mimi Magulumagu.....
Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na waziri mkuu wake...Nchi yangu nilikuwa naipenda kabla haijauzwa, kwa sasa kila mwenye nacho anajimilikisha anavyotaka...

Hehehe kama huna la kuandika sorry hapa si pake...niko vacation usiniulize wapi maana hata rais wetu husafiri kila wiki...

Ukisoma JF siasa kila siku unaweza pata presha!!..hebu tuwe vacation kama raisi wetu, sijui nani ata-run nchi??!

Bora ukajilaze mkuu mana inaonekana unapiga hatua moja mbele, tano nyumba..ha ha
 
ati magu kwa nini huwagi serious ukiongelea jambo lolote?? Hivi lini unaenda barcelona kuchukua jezi mpya??


swali lako la pili nililisahau...nimemtuma Nnauye akashone jezi mpya za Timu yetu maana Rostam kaziaibisha zingine...swali lako halikujenga hoja ndo maana limekuwa fupi....hakuna la nyongeza maana nawahi training ya kuogelea....
 
Ukisoma JF siasa kila siku unaweza pata presha!!..hebu tuwe vacation kama raisi wetu, sijui nani ata-run nchi??!

Bora ukajilaze mkuu mana inaonekana unapiga hatua moja mbele, tano nyumba..ha ha


wewe mwandishi utakuwa una kipaji sana...vipi unataka kuwa Mbunge wa viti maaalum?(anacheka), Hii nchi yetu baba kaiacha iko na uturivu lkn kuna watu wanachochea Udini...Mie hata kama sipo nchi iko safi...si unakumbuka mabomu ya Mbagala? nchi ilikuwa shwari kabisa, namshukuru Mwamnyange alielezea sababu za mabomu na akawaahidi watanzania hayatarudia tena....

kwenye nyekundu hapo naona umeongelea swala la aliyenitangulia kuuza nyumba za Serikali au...Hizo zitarudi tuu...nyumba za serikali haziuzwi kamwe....

hatua mie nimepiga nyingi sana...toka uhuru hata bibisi walinihoji nikawaambia..Serikali iliwezesha MW600(hahaha) lkn sisi tulipoingia toka mwaka 2006 tumepiga hatua mbele kuwezesha MW 300, huoni hatua hiyo...asante kwa kuliona hilo la hatua moja mbele kuhusu umeme...

2015 jiandae Ubunge wa Viti maalumu utapita bila kupingwa...
 
Mtachonga sana na Serikali,mie nipo London nilijikwaa kidole cha mguuni Kempinsky nimeletwa napata matibabu. Usiniulize Mshua kazitoa wapi pesa,jiulize kodi inakufanyia nini. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
Mtachonga sana na Serikali,mie nipo London nilijikwaa kidole cha mguuni Kempinsky nimeletwa napata matibabu. Usiniulize Mshua kazitoa wapi pesa,jiulize kodi inakufanyia nini. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.


hahahaha wewe ni fisadi...vua magamba kesho...Hospitali zipo nyingi tena tuna wataalam wengi sana(hahaha), hapa Mhimbili nilipoingia tu 2005 niliahidi maabara nzuri kuliko zote Africa, tuitumieni jamani.....

Hoja zako hazina uhoja...Ongea kwa hoja...
 
Vunja mifupa kama bado meno ipoooo...

Nilitaka nikupe Ubunge wa Viti maalumu lakini umenifurahisha sana, Ntakupa Umeya wa jiji lolote ulitakalo, wakishinda serikali yangu itachakachua hivyo usijali....

Chagua Mji haraka
 


wewe utakuwa unaandaa maandamano kwa nini huna hoja? Utakuwa mwandishi wa gazeti la mwanahalisi wewe tena ni mhariri mkuu....Nitakumwagia Tindikali tuone kama utaona typing pads wewe jifanye kuwafuatilia watendaji wangu wema...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom