CV yangu kimapenzi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV yangu kimapenzi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Jul 26, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi Magulumagu.....
  Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na waziri mkuu wake...Nchi yangu nilikuwa naipenda kabla haijauzwa, kwa sasa kila mwenye nacho anajimilikisha anavyotaka...

  Hehehe kama huna la kuandika sorry hapa si pake...niko vacation usiniulize wapi maana hata rais wetu husafiri kila wiki...
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  khaaaaa. . ?!!
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndo ukweli wangu mkuu.....vipi CV yako?
   
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  unatisha.. think uko buryang'uru kwa sasa.!!! kwema uko.??
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jana huko nilitoka....naelekea Mara kuongoza ile ile ile ile....sorry naogopa BAN
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kweli umepatwa!! Toka yale mashairi matamu mpaka hapa.... JK mwachie akili yake Magu jamani.....lol
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  je mkuu nikikudondoshea Crap itakutosha..
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  I real like it,i hate this selikali!
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hizi ni bange tu. Pole sana Magulumagu
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaazi kweli kweli.
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ahadii on the Forum jamani hata wewe? Niko vacation kama mkulu acha akili nayo irelax.....Soon nitablast the jukwaa..
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu una CV inaiitwa CRAP...uko juu mzeee....RIP CRAP tofauti na R.I.P CRAP... here we go again...
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Tukisema R.I.P serikali yetu tunakosea au? source hapo juu Ndeticha kanizawadia CRAP hivyo nadedicate CRAP kwa Serikali ya ******
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bange iko juu maana ni miti asili...je wanaolewa madaraka Je? wao sasa tuwaite wana nini vile? ndizi, karanga,vitumbua, maandazi au? wewe huipendi bangi? Bora mlevi/au addicted to Bangi than addicted to our CRAP a.k.a R.I.P source juu hapo..
   
 15. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Likwanda mkao wa Avatar yako tafadhali tusijelaumiana badae.......
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe tehe tehe.

  U made my day.
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jana nimebembea ka nini usiombe, halafu leo naenda kuangalia Basketball...I love vacation....wewe unaumia tu na jua la bongo? Pole sana...
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Hunishindi mimi! Next week naenda kuwaona boys 2 men. Afu si unajua hv majuzi tu nltoka kuhudhuria b'day ya mzee wetu Mandela? Ulienda wewe?
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hehe sasa na majonzi kanitoka kipenzi wangu "Amy Winehouse"...nasikitika sijaitwa kwenye Janga la Norway.....hahahaha Unajua nyie Watanzania nyie swala la umeme mnalichukulia mchezomchezo tu hahaa....Nilifurahi sana mwandishi wa Bibisi nilipombwaga na maswali yake......sasa najifunza kuogelea visiwa vya marta na kumwona rafiki yangu Kipenzi...
   
 20. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  magu bana hutaniwi duh! Haya bana endelea kupuliza msuba
   
Loading...