Wana Jf, Nilipokea kwa masikitiko makubwa habari ya kifo cha Sheikh Gorogosi. Ufahamu wangu unanishawishi niamini kuwa alikuwa mtu muhimu ktk BAKWATA ingawa sifahamu kiwango chake cha elimu. Natamani kufahamu CV ya huyu ndugu yetu. Mwenye info naomba aimwage hapa jamvini.
sijui kwanini huwa nakuona msanii msanii fulani hivi wale madingi ambao wanawapaga story watoto wao kuwa walikuwa wa kwanza from STD one mpaka chuo kikuu...anyway ni JF laknJapo CV yake sina ila kwa kadri nilivyowahi kuzungumza nae, anaonyesha ilmu duniya anayo na sifa yake ya ziada ni heshima kwa mamlaka husilka. Sheikh Mkuu alipoakiumwa, Ni Gorogosi ndiye aliyeendesha Bakwata, hata ili fukuza fukuza, Sheikh Mkuu aliibariki.
Miongoni mwa wenye ilmu kubwa ya dini, ukiondoa Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, na Sheikh Nurdin Hussein Bafadhili, waliobaki wote badobado, Sheikh Yahya Hussein pia yupo, tatizo ni longolongo za unajimu na mambo ya majini.
Mungu awaweke mahali pema peponi, Sheikh Nurdin Hussein, Hemed Bi Jumaa na Gorogosi.
sijui kwanini huwa nakuona msanii msanii fulani hivi wale madingi ambao wanawapaga story watoto wao kuwa walikuwa wa kwanza from STD one mpaka chuo kikuu...anyway ni JF lakn

Japo CV yake sina ila kwa kadri nilivyowahi kuzungumza nae, anaonyesha ilmu duniya anayo na sifa yake ya ziada ni heshima kwa mamlaka husilka. Sheikh Mkuu alipoakiumwa, Ni Gorogosi ndiye aliyeendesha Bakwata, hata ili fukuza fukuza, Sheikh Mkuu aliibariki.
Miongoni mwa wenye ilmu kubwa ya dini, ukiondoa Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, na Sheikh Nurdin Hussein Bafadhili, waliobaki wote badobado, Sheikh Yahya Hussein pia yupo, tatizo ni longolongo za unajimu na mambo ya majini.
Mungu awaweke mahali pema peponi, Sheikh Nurdin Hussein, Hemed Bi Jumaa na Gorogosi.
Mie nataka nimjue Mwenyeji Mungu.......huyo mkewe na wanawe ndio wamjue.....Yo Yo,
Ungelimjua huyo aliyekuwa nyuma ya PC kuandika hayo na shughuli yake. Usingehoji wala kumwona msanii. ... eni wei, JF sote tunatumia majina bandia na tunavaa tabia na uhusika bandia, japo baadhi tunajuana fika!
Jamani wadau...nasikia sheikh Gorogosi ana shule kali sana sana ya elimu ya dini.....
amesoma chuo kikuu misri kama miaka 7 na chuo kikuu cha makka miaka kama 7...pia amesoma sana sheria za dini.....hadi leo nafikiri hakuna anaemfikia kwa elimu ya dini hapa tanzania......yaani ilikuwa karibia apate PHD ya elimu ya dini....hata sheikh Husein analijua hili...nimeumwa sikio na mdau mmoja nae ni mwana ulamaa....
Mkuu story yako imejaa nasikia nyingi kwa hiyo ni ngumu kujua kama ni kweli au la. Na mtu umesema kasoma Misri miaka 7 halafu akasoma na Mecca miaka 7 ukijumlisha miaka yote hiyo inakuja miaka 14. Sasa inachukua miaka mingapi kupata PhD ya dini kama mtu aliyesoma chuo kikuu miaka 14 hajaipata?
Halafu baada ya nasikia zote unakuja kusema hata sheikh Husein anajua hilo. Sasa iweje statement ya kwanza hauna uhakika halafi statement ya pili una uhakika? Very contradicting.
Jamani wadau...nasikia sheikh Gorogosi ana shule kali sana sana ya elimu ya dini.....
amesoma chuo kikuu misri kama miaka 7 na chuo kikuu cha makka miaka kama 7...pia amesoma sana sheria za dini.....hadi leo nafikiri hakuna anaemfikia kwa elimu ya dini hapa tanzania......yaani ilikuwa karibia apate PHD ya elimu ya dini....hata sheikh Husein analijua hili...nimeumwa sikio na mdau mmoja nae ni mwana ulamaa....
__________________
Re: CV ya Sheik Gorogosi Japo CV yake sina ila kwa kadri nilivyowahi kuzungumza nae, anaonyesha ilmu duniya anayo na sifa yake ya ziada ni heshima kwa mamlaka husilka. Sheikh Mkuu alipoakiumwa, Ni Gorogosi ndiye aliyeendesha Bakwata, hata ili fukuza fukuza, Sheikh Mkuu aliibariki.
Miongoni mwa wenye ilmu kubwa ya dini, ukiondoa Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, na Sheikh Nurdin Hussein Bafadhili, waliobaki wote badobado, Sheikh Yahya Hussein pia yupo, tatizo ni longolongo za unajimu na mambo ya majini.
Mungu awaweke mahali pema peponi, Sheikh Nurdin Hussein, Hemed Bi Jumaa na Gorogosi.
Japo CV yake sina ila kwa kadri nilivyowahi kuzungumza nae, anaonyesha ilmu duniya anayo na sifa yake ya ziada ni heshima kwa mamlaka husilka. Sheikh Mkuu alipoakiumwa, Ni Gorogosi ndiye aliyeendesha Bakwata, hata ili fukuza fukuza, Sheikh Mkuu aliibariki.
Miongoni mwa wenye ilmu kubwa ya dini, ukiondoa Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, na Sheikh Nurdin Hussein Bafadhili, waliobaki wote badobado, Sheikh Yahya Hussein pia yupo, tatizo ni longolongo za unajimu na mambo ya majini.
Mungu awaweke mahali pema peponi, Sheikh Nurdin Hussein, Hemed Bi Jumaa na Gorogosi.
Yote Tisa,kumi Shehe Gorogothi alikuwa mcha Mungu na mtii tumwache apumzike kwa amani.