CV ya Paul Mzindakaya

CV ya Paul Mzindakaya

Doma utashambuliwa sana humu jamvini,jamaa ana washkaji wengi humu nashangaa mbona Cv za wengine mnaponda hii mnatetea.Jamaa amesoma Forest sec. morogoro enzi hizo baba Rc wa moro badaye akaingia chuo cha diplomasia Kurasini kwa ajili ya diploma,baada ya hapo alienda UK sijui alisoma/alimaliza nini huko then akarejea bongo.


Ni kweli alisoma Forest ila alikosa credit za kufanya mtihan wa 'A' level na akaenda CBE pale
 
Jamaa ni mtu wa watu vibaya mno,namkubali sana paul mzindakaya..piga kazi paul hachana na wenye wivu
 
Kuna demu mmoja namfahamu alikua mgombea ubunge viti maalumu CCM kupitia Tanga alikua ndo kama wife wa Jamaa, kwa sasa anapiga MBA mzumbe, huyo M-Malaysia katokea wapi??
Pia inafahamika kutoka kwa mtu wake wa karibu kua jamaa ni mtumiaji mzuri wa Poda a.k.a teja, na sometimes "Cha Arusha" hua kinapanda vilevile!!

Watz tumefikia hatua hii! Sasa kama ni mmalaysia au mgogo au mrundi si uamuzi wake?Mlitaka aoe mana zenu wadogo?
 
Sasa hivi familia iko vizuri,dada yake VIOLET yuko Kampala University Uganda,tangu ajiunge na chuo hicho miaka takriban 3 anaishi 5 stars hotel hapo Kampala,kwa kweli watu waliofili nchi hii ni wengi.
 
Sasa hivi familia iko vizuri,dada yake VIOLET yuko Kampala University Uganda,tangu ajiunge na chuo hicho miaka takriban 3 anaishi 5 stars hotel hapo Kampala,kwa kweli watu waliofilisi nchi hii ni wengi.
 
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,
hizi ni ishu binafsi tunakwachia wewe na mzindakaya wako na chuki zenu.
 
Back
Top Bottom