CV ya Paul Mzindakaya

Hii milegezo nasikia maana yake ndio hii, ina maana na mheshimiwa huyu yuko 'available'!!?

pants sagging.jpg
 
Primary na secondary Amesoma arusha shule (international school) jina la shule sikumbuki. Akija likizo (sumbawanga) baba yake (mzee mzindakaya) alikuwa anamlete shulen kwetu kupoteza muda ,mwalimu wetu wa english alikuwa anapenda kumpa kitabu asome, si unaelewa mambo ya primary shule za kanumba Alikuwa anamwaga ung'eng'e, si wengine hoi. Degree kapatia uganda yeye na mdogo wake jackline, masterz kapatia malaysia . Tumecheza nae sana basket ball viwanja vya uzungun a.k.a compound. Ameoa demu wa ki-malaysia. Aliporudi tanzania, akapewa kazi kwenye kampuni ya baba yake, kiwanda cha nyama sumbawanga. Nasikia baba yake alitaka awe mbunge 2010, lakin watu wakakataa. Hayo ndio machache nayo yajua kuusa paul.
My take: kumpa u-DC ni kama kumvalisha viatu over size.
 
CPA. Huu ukuu wa wilaya waliogawiwa watoto wa viongozi wa sasa na wa zamani ni ndoano ya kuwalainisha wazazi wao ktk mpango mzima wa mukulu kumpitisha mtu wake anayemtaka kugombea kupitia CCM,2015!
 
Primary na secondary Amesoma arusha shule (international school) jina la shule sikumbuki. Akija likizo (sumbawanga) baba yake (mzee mzindakaya) alikuwa anamlete shulen kwetu kupoteza muda ,mwalimu wetu wa english alikuwa anapenda kumpa kitabu asome, si unaelewa mambo ya primary shule za kanumba Alikuwa anamwaga ung'eng'e, si wengine hoi. Degree kapatia uganda yeye na mdogo wake jackline, masterz kapatia malaysia . Tumecheza nae sana basket ball viwanja vya uzungun a.k.a compound. Ameoa demu wa ki-malaysia. Aliporudi tanzania, akapewa kazi kwenye kampuni ya baba yake, kiwanda cha nyama sumbawanga. Nasikia baba yake alitaka awe mbunge 2010, lakin watu wakakataa. Hayo ndio machache nayo yajua kuusa paul.
My take: kumpa u-DC ni kama kumvalisha viatu over size.
Kuna demu mmoja namfahamu alikua mgombea ubunge viti maalumu CCM kupitia Tanga alikua ndo kama wife wa Jamaa, kwa sasa anapiga MBA mzumbe, huyo M-Malaysia katokea wapi??
Pia inafahamika kutoka kwa mtu wake wa karibu kua jamaa ni mtumiaji mzuri wa Poda a.k.a teja, na sometimes "Cha Arusha" hua kinapanda vilevile!!
 
Doma utashambuliwa sana humu jamvini,jamaa ana washkaji wengi humu nashangaa mbona Cv za wengine mnaponda hii mnatetea.Jamaa amesoma Forest sec. morogoro enzi hizo baba Rc wa moro badaye akaingia chuo cha diplomasia Kurasini kwa ajili ya diploma,baada ya hapo alienda UK sijui alisoma/alimaliza nini huko then akarejea bongo.
Batoto ba bakubwa bana chukuaga nafasi za baba zao,ninahakika hivi vyeo wanapewa baada ya baba zao kuahidi kuwa tuko pamoja ''KUYAVUA MAGWANDA'',yaani siku hizi ni kama uchief umerudi CCM na serikali yake,akina Kawawa wako sijui wanne,wengine wabunge n,k,akina Mwiyi nao wako bize,akina Bilali ,wale wa Mtera,kwa akina baba wa taifa nao hawakosekani,akina Nnauye,Rizi 1,akina Malima,Mzindakaya,wale wa mzee wa porojo Mgosi Makamba, hakika msururu ni mreeeeeeeefu,ni wao tu
 
unataka avaeje?
Hao wanaovaa vizuri kukidhi yanayoujaza moyo wako ndo hao wametufikisha hapa!!
kama una ugomvi nae mkapambanie huko unakomwona akiwa mlegezo sio humu jamvini

Nakubaliana na maelezo yako, usimhukumu mtu kwa uvaaji wake...mhukumu kwa matendo yake.
 
Ni yale yale ya wenye ccm.
Na dada yake chapombe Vicky Msindakaya kapewa u dc wa wapi vile....
 
SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey

Chezea bieree za bure weye! Tehe tehe yaani wewe inaonesha ni jinsi gani unatetea ili mzinda aje kukufaa hapo baadae! Eti baba yake alikua so and so! So what? Mambo ya kugawana madaraka kwasababu fulani ndo yanatu angamiza wa tz. Tetea hoja kwa point za msingi sio kutetea sababu ya bia anazo kununuliaga na ndo hapo tunapo kuona wewe si kama shoga ila ni shoga kabsaaaaaaaaaaa
 
Mzindakaya Mjanja alikuwa anaongea sana Bungeni lakini Nyerere hakumpa Uwaziri; alijijenga na wacommunist Wachina

Amepata hizo 10% za wachina kwa kuwapa Kiwira Coal Mines & Iron Ore; Ana watoto wa Kiume na wa kike wote walienda Arusha School English Medium, alihakikisha wanapata Elimu bora hata kama JK Nyerere hampi Uwaziri.

Angalia Sasa bado anautukuza Usocialist lakini ana Kiwanda chake Mwenyewe, Ni mwenyekiti wa NDC kafanikisha Serikali kuingia Ubia na Wachina na kuwashinda Waamerica, Waswedish, Wanorway kuichukua Kiwira na Iron Ore Place; Wachina Wamesema Watajenga Mji; Lakini wanajulikana kwa Ubaguzi Mfano Mzuri ni Zambia na bado yeye amewakumbatia Wachina

Kuliko kuwapa Scandnavian Countries ambao naona tungepata faida zaidi
 
Alipiga discontinue CBE, alikuwa mtu wa totoz, ninavyofahamu alikwenda kusoma UK baada ya kudisco CBE, kwa waliosoma hapo 2000 - 2003 mtaniunga mkono
 
Namfahamu paul mzindakaya personally kweli jamaa alikuwa ni mtu wa totoz kipindi hicho( zamani)lakini baada ya kuanza kuwa na majukumu alianza kubadilika na baada ya kupewa kazi ya usimamizi kwenye kampuni ya baba ake majukumu yalikuwa mengi zaidi ni mtu wa kawaida sana hauwezi kumdhania kama ndio yeye hata ukikutana nae yuko simple sana.

Baada ya kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya,officially alihamia busega huko wilayani kwake na kwa sasa anawatumikia wananchi wa busega kuhusu kuvaa mlegezo hilo nakataa ila anapenda kuvaa jeans ila sio mlegezo na hii ilikuwa alipokuwa anafanya kazi kwenye ofisi ya baba ake lakini alipokuwa akiwakilisha vijana kiserikali anapenda kuvaa kaunda suti.

Msifanye uongozi au cheo kiwe ni kigezo cha kumfanya mtu awe mtumwa wa maisha yake me sijaona kosa lake katika hilo cv ya mtu haisaidii kwa sababu huonyesha yaliyopita fuatilia ya sasa na uje na detail za mazuri au mabaya sio kwa kumjudge mtu kwa jinsi na mtazamo wako mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijawahi kuona mtu hovyoo,mvivu wa kufikiri, mnafiki na mwenye wivu na chuki binafsi Kama huyu Mtoa mada.. Watanzania tujifunze kupendana na kukubali pale vijana wenzetu wanapopewa dhamana kwani hatuwezi kuteuliwa wote..hongera kijana Paul Mzindakaya Huku sumbawanga tunakuita Obama tunatambua uchapakazi wako komaa na majukumu uliyopewa na rais achana na majuhaa hawa piga kazi babaa..huwezi kupendwa na watu wote na pia huwezi kuchukiwa na watu wote...!!
 
Si imeombwa CV jamani kuna ubaya gani mtu abayelipwa kwa kodi zetu akajulikana? ???

Eti CV huonesha ya zamani!!!! Kabisa mtu anajibu hivi????

Kama CV haijulikani basi mtujuze kasomea nini na wapi???!!!!!!

Kwa mfano Nawanda(IRAMBA) kasoma BA SOCILOGY NA M.A DEV STUDIES zote kapiga mlimani UDSM tumesota nae pale BIBO na kukwea mashato saaaanaa!!!!!

Anayejua ya huyu Paul aweke tuwajue vijana wenzetu viongozi wateuliwa
 
Back
Top Bottom