CV ya Juma Nkamia

hvi haka kabinti ni katoto ka mwl nyerere au jina tu linafanana?
moja kati wa wabunge ninaoona wanaongeaga PUMBA huyu ni mmoja wao, IQ yake ni ndogo mno.

Kama sio katoto basi kajukuu mana nakumbuka kwa nyerere kuna hilo jina
 
Kuna chama hakihitaji elimu kinahitaji ukereketwa kina viongozi wa aina hiyo wengi hadi waganga wa kienyeji (Maji Marefu)

Mnyika kidato cha sita, Mbowe kidato cha nne, wenje? Lema? - Mawaziri kivuli wasiokuwa na elimu! Kwani pia unajua Heche pale Musoma alipataje!
 
Aliwahi kuwa Dj Mahiri sana pale Bills na Yule wa Arusha aliwahi kuwa jambazi sugu sana pale Arusha hali iliyomlazimu kutumia 0713 yake vizuri kipindi akiwa jela ili aweze kuishi vizuri Jela kwa kula vinono na kulala karibu na Nyapara Jumanne Mjusi
umejidhalilisha sana !
 
Amani kwenu wadau, Naomba kujua CV ya huyu mbunge wa jimbo la Kondoa kusini ,Naibu waziri wa habari,utamaduni na michezo, kama kuna mtu anaijua atupie humu.Nimejaribu kwa tovuti ya bunge sijaelewa vizuri.Hua namkubali sana huyu jamaa kwa jinsi anavyojibu maswali bungeni tena kwa kujiamini, Nilisikia kua anasoma UDOM ,sijajua ni postgraduate dploma,masters PHD au kipi kwa mnaojua.
 
Alizaliwa 1972 January 01, Ana stashahada ya kawaida katika uandishi/uana habari...
Ni mwana CCM...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom