CV ya Juma Nkamia

CV ya Juma Nkamia

Enzi hizo anaanza kazi, utangazaji ilikuwa kama kuuza magazeti hata kama hauna elimu unapata
 
Acheni wivu wa kike.mbona uyu jamaa yupo fiti au bifu zenu za uccm na ukawa
 
Acheni kashfa ninyi, na udaku wenu, nimegundua mnatumwa kumchafua nkamia na Zitto, kwa kulipwa vijisent, sasa next time anayekutumeni nimeongea naye akasema atawapa hela mumuvulie Bikini.

Nkamia nijanga,anapaswa ange endelea nakazi yake yaupaparazi,maana uwezo wake bungeni,nimdogo ndio maana anatukana,kwa namna hii hata ww unamatatizo makubwa.yaufaham
 
Mkuu umetoa utangulizi wa cv yake, na ukifuatilia maelezo yako vema inaonekana kuna kitu nkamia alisema au alifanya(m cjui) ila ikapelekea kupata swali la kujua cV yake.

Isitoshe kwa uzoefu wangu mdogo hakuna mbunge hata 1 ambae unaweza kumkuta na cv nzr hasa akiuliza hum jF, maana hum kila mtu anajua na anaitrest zake,wengine na chuki pia.

Hvo ctalajii JF iletwe cv ya kiongozi yeyote yule ikubalike kwa wote,tena tungekuwa tunafahamia ungeshangaa hata kuna watu wanaelim ndogo nao wangesema hafai, japo yao n ndogo..

Kikubwa kwangu n utendaji, na je anasifa za kuwa mbunge na Waziri? Je anatimiza wajibu wake?

Najua lipo jambo nkamia kafanya(sina uhakika) ndo maana CV yake imewekwa, na mtoa mada kaweka cv ya mtego mtego hv..
 
Yumo humu atakuja tu atupe a complete CV yake.
Huyu jamaa ni Msandawi (Msandawe) anavyoichukia Jamii Forums hapa kaumbuka
haiwezekani uupate Uwazuri halafu Elimu ya A-Level usome Sekondari 3
Mwacheni aungue ajibu tumrushie mabomu mengiine ya kumiliki mali za Symbion bila ya kuzinunua hapo Kizota
 
kama ni kweli nilivyoiona sio sawa kupewa kile cheo hata uniambie nini,suala la uwelewa ni lazima litakua na matatizo,ukibisha basi hata wewe hutendei haki usomi wako,we need to value education as the tool to individual, especial in such position.
 
Huyu jamaa ni Msandawi (Msandawe) anavyoichukia Jamii Forums hapa kaumbuka
haiwezekani uupate Uwazuri halafu Elimu ya A-Level usome Sekondari 3
Mwacheni aungue ajibu tumrushie mabomu mengiine ya kumiliki mali za Symbion bila ya kuzinunua hapo Kizota

Halafu moja eti Mzumbe High Schoool,Special School.
Ptuuuuuuu
 
Tunahitaj watu wachape kaz elimu zingine in sawa na mbuzi aliyekula kitab ttamwita msomo?
 
Jamaa alisoma A- Level Miaka mi 3 ????
Parliament of Tanzania

Same Secondary School
Sengerema High School
Mzumbe High School

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

ALIWAHI KUAJIRIWA na BBC KAMA MTANGAZAJI KABAMBE SANA ! KWI! KWI! KWIII!!!
 
Jamaa alisoma A- Level Miaka mi 3 ????
Parliament of Tanzania

Same Secondary School
Sengerema High School
Mzumbe High School

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

Tuweke ya Lema
Na Dj Mbowe tufananishe na hii ya Nkamia
 
ALIWAHI KUAJIRIWA na BBC KAMA MTANGAZAJI KABAMBE SANA ! KWI! KWI! KWIII!!!

Aliwahi kuwa Dj Mahiri sana pale Bills na Yule wa Arusha aliwahi kuwa jambazi sugu sana pale Arusha hali iliyomlazimu kutumia 0713 yake vizuri kipindi akiwa jela ili aweze kuishi vizuri Jela kwa kula vinono na kulala karibu na Nyapara Jumanne Mjusi
 
Asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na siasa hasa nji za afrika elimu haizingatiwi.kinachozingatiwa ni jinsi ya kupangua hoja na kudanganya wananchi.sishangai kwa nkamia
 
Back
Top Bottom