CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Uko very wrong mkuu, usikimbilie kumjaji mtu vibaya, cv imewekwa and its good.
Changamoto ni kwenye kuitumia kutekeleza majukumu alopewa na wananchi.
No I am not wrong. Hata kama alimaliza form six, angelikuwa na pass nzuri angelikwenda University directly, kitendo cha kutokwenda university na amemaliza Mzumbe/Sengerema???? Mzumbe shule nzuri mpaka leo ni kuwa alidunda kidogo for a direct university entrant qualification. Kama wengi walivyosema, elimu aliyonayo inawea kumtosha kufanya kazi ya kuwawakilisha wananchi, lakini inahitaji tafakuri zaidi kwa level yake inapokuja technical issues.