CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)


Lakini ana kitu pengine wabunge wote hawana; Ni mjasiriamali wa "celebrity"
 
Sugu sio waziri...cdm hawawezi mpa unaibu waziri kws elimu hiyo. Ila katiba insmpa uhuru wa kuwa mbunge...mbeya walimpa baada ya kijan kuchemka.....wakikomoa.....tujifunze
 
Sugu sio waziri...cdm hawawezi mpa unaibu waziri kwa elimu hiyo. Ila katiba inampa uhuru wa kuwa mbunge...mbeya walimpa baada ya kijan kuchemka.....wakikomoa.....tujifunze
 
Sasa wewe umeandikandika mashairi ya mipasho badala ya cv...tuondoleee utumbo hpo ukJifunze kwanza kuandila cv..
 
Wana Jf,
Naomba kujua hivi Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ameishia kidato cha nne tu???
Kwa wanaojua ukweli, tafadhali mtujuze....
 
halafu inakusaidiaje katika kutafuta kwako hela kwa kila siku? simple minds discuss pple and great thinkers discuss issues/ ideas, so why cant take this to fb?
 
Ukweli ni kwamba, kwa bahati mbaya sana hata kidato cha nne hakumaliza.

Ule upuuzi anaoufanya bungeni na nje ya bunge una sababishwa sana na umbumbumbu.
 
Wana Jf,
Naomba kujua hivi Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ameishia kidato cha nne tu???
Kwa wanaojua ukweli, tafadhali mtujuze....


hata mie sijui ila kwa uelewa wake anaweza kuwa zaidi ya form four

wandugu sikieni:mtu wa form four hamna kitachomshinda kibongobongo....elimu zingine ni ziada.


mfano: vyeti ni vigezo vya kunyimana na kupeana kazi na si uelewa mara nyingi.
 
Ukweli ni kwamba, kwa bahati mbaya sana hata kidato cha nne hakumaliza.

Ule upuuzi anaoufanya bungeni na nje ya bunge una sababishwa sana na umbumbumbu.

mropokaji zezeta wa first class economics ametudhihirishia kwamba kumbe hata uprofessor waweza kuwa upuuzi kwenye mazingira yetu
 
Ishu cyo drs bali ni mawazo na mtazamo wa mtu.wasomi watz watakumbukwa kwa lipi?afadhali sugu kwa music kasaidia.
 
halafu inakusaidiaje katika kutafuta kwako hela kwa kila siku? simple minds discuss pple and great thinkers discuss issues/ ideas, so why cant take this to fb?
Mimi huwa sitafuti hela. Futa kauli yako...
 
Wewe ni mnafiki wa kijani ukishajuwa ikusaidie nini acha upimbi we!
 
kufaulu shule si kufaulu maisha. Mbinu za kufaulu maisha zipo nyingi. Unafahamu Bill Gates alifeli form six. Unafahamu huyu mwenye SH HAMON, Land Mark Hotel, Pattaya Hotel nk hakumaliza secondary?.Unafahamu Shigongo alikua muuza magazeti stand kule Mwanza?. Unafahamu Salim Kikeke wa BBC alikua Mwanaapolo kwenye machimbo ya Tanzanite kule Mirerani Arusha?. Wangejidharau leo hii wangefika walipo? Usibweteke kuchunguza maisha za watu,tafuta salary mkuu!
 
Mbona hata mimi ni form four wa 2007 lakini nimeajiri wenye degree wa tena wa UDSM.
Wakati wenzangu wanaenda advanced mimi nilizama biasharani kwa mtaji wa elfu 30.
Kibongo unaweza kuwa na masters na isikusaidie kitu, si mnamjua yule jamaa mwenye PHD anayeshindaga kule MMU na CHIT CHAT na hajapata kazi mpaka leo!
 
sugu hakuna kitu alichofanya mbeya. wafuasi wake ni vibaka na wapiga nondo wa mwanjelwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…