CV ya Freeman Mbowe hii hapa

Status
Not open for further replies.
Wakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.

Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.

Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Heading na topic wapi na wapi? Bunge lako wewe na mwanao ambapo wewe ndo spika au kitu gani? Viroba vinapatikana bado naona.
 
Binge la kwako na mwanao ndio mmechanguliwa na nani sasa mlipokua mnajadili...nchi hii balaa
 
Mbona hamjibu swali ana elimu gani mwenyekiti wetu mbowe hata wanachama wengi Wa chadema hatujui
 
Wakati tunaendelea kufuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa nchini hasa katika binge letu tukufu. Leo mwanangu ameniuliza swali ambalo limekuwa gumu sana kulijibu hasa baada ya kufurahishwa na ujengaji mzuri wa hoja alionao kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Freman Mbowe.

Kijana wangu ameniuliza baba huyu Mbowe anaelimu kiwango kipi? Form four na six kasomea wapi pamoja na chuo kikuu? Kwakeli nimeshindwa kupata majibu kwa wadau wote niliojaribu kuwauliza wengine wamesema kafeli form six wengine kamaliza chuo.

Naomba mwenye majibu sahihi anisaidie.
Experience & Creativity.
 
hata akiwa form IV ni real ..
hafanani na dokta feki ambae hana hata uwezo wa kujenga hoja..
tetemekeni..
 
Anatajwa kuwa nduye KUB bora eti ana akili kubwa

Anatajwa kuiinua sana chadema

Anatajwa kuwa na mikakati mizuri

Vipi kuhusu elimu yake na nafasi alizowahi kushika kabra hajawa mbunge
 
DJ wa Bilcanas...
Form six failure....
Karani wa BOT, cheo alichopewa na mkwe wake Mtei, wakati huo Mtei ndio Mkurugenzi wa BOT....
Mgoni, amezaa na Mbunge wake wa viti maalum, Joyce Mukya...
Mengine yashushie hapo chini....
 
mkuu umejianda kwa matusi

maana utatukanwa wew , familia yake, ukoo wako na kila kiumbe hai kilichopo kwako.

ngoja waje mkuu kimbia haraka
sidhani kama ni vyema kuwaza hasi ni vyema katika maisha ya kila siku labda nikushauri siku nyingine uwe wa mwisho ili uje na evidence na uhitimishe mjadala kwa majibu yako.....unless upo na mwandishi wa uzi huu na ana mawazo kama yako
Binafsi nitamtaja mh. Mbowe kama kiongozi mwaminifu ,mbunifu mahili wa chama cha chadema
 
DJ wa Bilcanas...
Form six failure....
Karani wa BOT, cheo alichopewa na mkwe wake Mtei, wakati huo Mtei ndio Mkurugenzi wa BOT....
Mgoni, amezaa na Mbunge wake wa viti maalum, Joyce Mukya...
Mengine yashushie hapo chini....
....muweka 'kalikiti' !
Mission town
 
Anatajwa kuwa nduye KUB bora eti ana akili kubwa

Anatajwa kuiinua sana chadema

Anatajwa kuwa na mikakati mizuri

Vipi kuhusu elimu yake na nafasi alizowahi kushika kabra hajawa mbunge
Samahani, sina nia mbaya, weka ya Baba yako pia tuone!
 
sidhani kama ni vyema kuwaza hasi ni vyema katika maisha ya kila siku labda nikushauri siku nyingine uwe wa mwisho ili uje na evidence na uhitimishe mjadala kwa majibu yako.....unless upo na mwandishi wa uzi huu na ana mawazo kama yako
Binafsi nitamtaja mh. Mbowe kama kiongozi mwaminifu ,mbunifu mahili wa chama cha chadema
mahili ama mahiri???

naona umeamka peke yako wenzio bado wamelala ama wanaperuzi kwenye kamus ya matusi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom