Hapo ni lazima uchanganyikiwe.Sio wewe tu watakuja wengine hapa povu la Omo litawatoka.! Tukimaliza kujadili Elimu ya Dr.Slaa sasa tuhamie Elimu ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif,Kinana(The Dentist), EL (sanaa na maigizo) JK (Hiyo Gentleman Degree) haina mjadala anyways..........! Kidding but message sent!
On a serious Note,tujadili mifumo ya elimu na sera.Tuache kujadili watu
unapomzungumza Maalim Seif Sharif Hamad jua unazungumzia First Class and Honourable Degree ya public Administration kutoka Udsm enzi hizo wafadhili wa Sumu wanahangaika na vi certificate kusafisha Vyeti ili kanisa limu admit kwenye masomo ya upadri lakin alipoonjeshwa Mbuchuchu ya ki Arusha akalipotezea kanisa!
Dr..kapiga shule aise...si mchezo....vijana wa CCM walivo sijui hata kama wataelewa hiyo shule iliyoelezwa hapo....mana kwa michango yao humu uwezo wao unatia mashaka makubwa...
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.
Weakness.
It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
Watu mtapata shida ya bure tu; niliwahi kuuliza - ili kulinganisha tu - Prof. Juma Mikidadi kasomea nini hadi akafikwa ni "a mahali na kutambuliwa kuwa ni Profesa? Na siyo tu amesomea nini bali amesomea 'wapi'? Kwanini elimu na vyuo na mambo aliyosomea Prof. Mikidadi vikubalike lakini alichosomea na aliposomea dr. Slaa visikubalike?
Kama ulisoma reproductive system, utatambua kwamba mwanaume ana uwezo wa kutengeneza sperms even at the age 100 akikutana na mkewe anayeproduce ovums kwa hiari yake atazaa,kwa ni katika miaka sitini nchi hii watu hawaruhusiwi kuzaa,umemsikia mengi ana mapacha,Kikwete ana watoto wadogo tu ,na wengine wengi kama wewe huna kansa ya prostate,nilijali na mkeo hajaingia kwenye menopouse kazae wa kwakoEti anajisifia kafundishwa maadili lakini at the age of 60 anazaa Mtoto nje ya Ndoa tena na mke wa Mtu anaetambulika kanisani na kwenye sheria za nchi, anakiri mzazi mwenzie aliezaa nae watoto wawili hajawahi kufunga nae ndoa akimaanisha amezini nae kwa Muda wote.
masomo na elimu za dini zisitambulike kwenye Jukwaa la siasa!
Wale watakuambia wana maprofesa wa kufuga majini.Umaarufu wao unatosha.
Vijana wengi ambao shule zao zinatia mashaka ili kupiga kazi ni lazima wajisalimishe CCM.Huoni kuna wale walioacha kufundisha wanatumika majukwaani kama mtambo maalumu wa kumwaga matusi?Knowledge wanayo-impart ni matusi!
Kwa mawazo yako siasa ni za kufanywa na wenye akili ndogo? Hata ivyo sikosa lako, mfumo tu. Kama vyuo vya ualimu wanaenda dv 4 na watunga sheria lugha ya za kimikataba hawajui wewe utatoka vipi ktk ilo box.
Kikawaida wanaongoza kanisa katoliki ni scholars,na kama kuna mtu alipitia huko anakuwa msomi ndio misingi yao na ndio maana utaona hawana shida ya kitu chochote kwa sababu elimu dunia na elimu dini wanasoma vyote kwa pamojamasomo na elimu za dini zisitambulike kwenye Jukwaa la siasa!
Unajua maana ya neno falsafa?
Ben Saa8, I can assure you politics does not need smart people of that level... fanya utafiti utaona! Wa2 wazuri wanafanyiwa Zengwe.....
Kikawaida wanaongoza kanisa katoliki ni scholars,na kama kuna mtu alipitia huko anakuwa msomi ndio misingi yao na ndio maana utaona hawana shida ya kitu chochote kwa sababu elimu dunia na elimu dini wanasoma vyote kwa pamoja
Kama wewe na baba yako ,mam yako na kaka na dada na wajomba zako ndio munamfanya mtu kuwa raisi basi huwezi kuamini lakini kama ni maamuzi ya wananchi na Mungu hakuna wa kupinga,Dr Slaa he is the most powerful politician,kwa jinsi mulivyomchafua na upadri wake leo angeshasahaulika lakini wananchi wanafamu mbivu na mbichi hawaangalii propaganda ndio maana leo tupo hapa unafurhia matunda ya rasimu ya katiba kwa sababu ya wachache waliotayri kufa kwa niaba ya wananchiBen Saa8,
Mimi natamani nisiwe mwanachama wa chama chochote and I love the new constitution draft maana inanipa uhuru sana... lakini nikuambie ukweli kaka yangu.
Kuamini Dr. Slaa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ni sawa sawa na Kuamini kuna siku Mkilimanjaro atapewa Rungu la Kuwa Rais... at least I don't see that for next 20 years....
Ben Saa8; Hiyo ni chungu ila meza kiume....
Ben Saa8,
Mimi natamani nisiwe mwanachama wa chama chochote and I love the new constitution draft maana inanipa uhuru sana... lakini nikuambie ukweli kaka yangu.
Kuamini Dr. Slaa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ni sawa sawa na Kuamini kuna siku Mkilimanjaro atapewa Rungu la Kuwa Rais... at least I don't see that for next 20 years....
Ben Saa8; Hiyo ni chungu ila meza kiume....
Eti anajisifia kafundishwa maadili lakini at the age of 60 anazaa Mtoto nje ya Ndoa tena na mke wa Mtu anaetambulika kanisani na kwenye sheria za nchi, anakiri mzazi mwenzie aliezaa nae watoto wawili hajawahi kufunga nae ndoa akimaanisha amezini nae kwa Muda wote.
ukijua maana ya Theology usingeuliza hilo swali kwa mujibu wa Thread hii!
Heeh,Hilo siwezi kukubishia.Tangu lini mganga wa kienyeji akabishiwa?Ben Saa8,
Mimi natamani nisiwe mwanachama wa chama chochote and I love the new constitution draft maana inanipa uhuru sana... lakini nikuambie ukweli kaka yangu.
Kuamini Dr. Slaa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ni sawa sawa na Kuamini kuna siku Mkilimanjaro atapewa Rungu la Kuwa Rais... at least I don't see that for next 20 years....
Ben Saa8; Hiyo ni chungu ila meza kiume....