Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Alishawahi kutibia watu Muhimbili? maana ndio kipimo cha udaktari bongo

Isijekuwa huyo aliyeandika hiyo CV ali quote vibaya vibaya hizo tarehe!
 
Hata hii tata.......

-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982
/SECONDARY

Nadhani database administrator wa Bunge ana matatizo......profiles za wabunge wengi ni utata mttupu
 
Nadhani sasa tunakuwa too skeptical na (wakati mwingine) tunaacha kutumia busara ya kawaida. Hiyo CV inaonyesha dhahiri kuna makosa mengi ya kiuchapaji. Dr. Mwinyi ni daktari kwa kusomea na ni kweli hakufanya intern (ambayo sio lazima kama wakina Mponda na Pinda walivyotaka kuaminisha watu wakati wakimtuhumu Dr. Ulimboka; unless unataka kufanya clinical practice, yaaani kutibu binadamu). Halafu akasoma na kufanya mitihani uingereza na kutunikiwa FRCP- fellow of royal college of physician, hii ni " bodi" ambayo inakupa utambulisho wa kuweza kupractice medicne UK. Kuhusu utendaji, siwezi kusema atakuwa bora ya waliomtangulia, lakini madaktari wanmkumbuka kuwa ndiye aliyekuwa naibu waziri wakati wa mgomo mkubwa mwa 1995 (kama sijakosea), na alithubutu kwenda kuonana na madaktari ukumbi wa korea na kilichofuatia ni mishahara kuongezeka kwa 100%

Hongera kaka kwa kuachana na MAJUNGU na kueleza ukweli!
 
elimu zingine wanajua wazazi wao tusipoteze muda kuangalia cv yakijinga kiasi kama hiki. may be kama imechakachuliwa lakini kama ni halali basi haina mjandara
 
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu

Mimi navyo jua kuna wahadhiri kibao vilaza na ni mzigo kwa wanafunzi. Mimi najua pia watoto wa vigogo huwa hawafanyiwi interview za uhakika kama sisi wengine ndio maana mpaka mfanya kazi wa ndani wa Ditopile alipata kazi ya udaktari Dodoma hospital kisa katoka kwa mkuu wa mkoa! Sembuse mtoto wa Rais!!
 
Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.

Sio kweli......hebu angalia vizuri mtiririko wa elimu ya awali toka 1974 hadi 1984 darasa la kwanza mpaka form 6 in ten years?:primary school(6 years) Secondary school(2 years) High School(2 years)

-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY
 
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI......HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI, : Hussein Mwinyi Surname Mwinyi First Names: Hussein Ali Alternate Name Title: Dr Country of Birth : Tanzania Positions From To Organisation Position 2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service 2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs 2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani Date of Birth 23 Dec 1966 Political Affiliation CCM eMail Telephone Address Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ] EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level -Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE -Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE -Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL -Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY -Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY -Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006 Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005 Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998 Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997 Ministry of Health Doctor 1993 1993****POINTS TO NOTE!!!1991-1992-Intern (Marmar university Turkey ) 1993-1993- Doctor MMC 1994-1995- Registrar MMC 1991-1997-Masters UK 1)Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini? 2)Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical:redface: huku anafanya intern Turkey?? tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili??? wakati huohuo akiwa anafanya masters UK? MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!Nawasilisha...
Hii CV fake, we angalia MD1985-1992 ni 7years na Msc 1993-1997 ni 4years, napata wasiwasi na huo muda au asemi km alikuwa kilaza watu wakawa wanampiga repeat a year.
 
KIMSINGI WALIO WENGI WANADANGANYA ILA HUYU AMEZIDI JAMANI

  • A%20S%20465.gif

 
Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.
Hiyo miaka imeunga, yaani kutokea primary kwenda O-level na kutoka O-level kwenda A-level hakuna gape, kaangalie vizuri, Hata hivyo kama alisomea nje angestahili kuonesha hiyo shule hapa, mbona universities amezionesha.

Namwomba atoe CV yake mwenyewe anayoiamini ili kuondoa mashaka na kuzuia watu wasimdharau, akichelewa yatamkuta yaliyomkuta mtu mmoja aliyekuwa akiitwa KIHIYO mwaka 1996.
 
Kubishania Cv ambayo imetoka kwenye tovuti ya bunge ni kupoteza muda kwani 75% zimekosewa,labda tu kama mna mengine ya kubishania.
 
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu

Ni kweli usemayo, hata mimi wakati nipo mdogo alitokea uturuki akatuletea SAA, ambayo mpaka leo ipo! tukaambiwa ndio amerudi akitokea uturuki kusomea udokta! eeh1 jamani watu wafukunyuku ! mbona mnapenda kuchafua wenzenu! hebu muacheni basi aingie huko wizarani halafu tuone kama ataharibu ! mbona mmezidi wivu?
 
Hii yo ndiyo CV yake kama inavyosomeka kwenye web site rasmi ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania.

Hammersmith Hospital, London, UKMasters (Medicine)19911997MASTERS DEGREE
Marmara University Medical School, Istanbul TurkeyDoctor of Medicine19851991CERTIFICATE
Tambaza High SchoolA-Level Education19841985HIGH SCHOOL
Azania Secondary SchoolO-Level Education19821984SECONDARY
Manor House Junior School, Cairo, EgyptPrimary Education19771981PRIMARY
Oysterbay Primary SchoolPrimary Education19721976PRIMARY
Hammersmith Hospital, London, UKPhD19941997PHD

Nimeikopy na kuipest kama ilivyo kwenye kipengele cha elimu tu. Kwa kweli mi kama msomi ni ya utata! unless otherwise imekosewa kwenye webssite ya bunge. Tunaitaji ufafanuzi wa hiyo CV . Haiwezekani kabisa kufanya masters na phd kwa wakati mmoja.
 
Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.
timbilimu watoto wa mabalozi walirudishwa na utawala wa Mwinyi nadhani mwaka 1987 na kweli wengi walienda Tambaza na Azania lakini siyo miaka ya 1983.

CV ambazo zipo kwenye tovuti ya Bunge ni pasua kichwa haziaminiki hata kidogo; zimejichanganya sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli kazi ipo... Hawa jamaa hata aibu hawana. Haya ndio mambo ya Nchimbi kuitwa "Dr" then baadae ndio anapata hiyo doctorate degree...
 
Cv ya Dr Hussein Mwinyi kwenye kipenge cha elimu tu, kama ilivyo kwenye website ya bunge. !!




Hammersmith Hospital, London, UKMasters (Medicine)19911997MASTERS DEGREE
Marmara University Medical School, Istanbul TurkeyDoctor of Medicine19851991CERTIFICATE
Tambaza High SchoolA-Level Education19841985HIGH SCHOOL
Azania Secondary SchoolO-Level Education19821984SECONDARY
Manor House Junior School, Cairo, EgyptPrimary Education19771981PRIMARY
Oysterbay Primary SchoolPrimary Education19721976PRIMARY
Hammersmith Hospital, London, UKPhD19941997PHD

Haiwezekani kabisa kufanya phd na masters kwa wakati mmoja!
huu ni usanii wa hali ya juu.
Mr Wambura Mkuu wa kitengo cha IT bungeni **** unapitapita huku tupatie ufafanuzi hizi taarifa za wabunge kwenye website yenu hamzikagui na kuwahoji kidogo manake nyie kama wasomi lazima uwe na utata ama sivyo utusibitishie kabisa kwamba kwa upande wenu hamna makosa mnaiweka kwa kadri ya maelekezo ya mbunge mwenyewe. Manake haiwezekani mtu kuwa na cv ya namna hiyo
 
Wadau mwenye kile kitabu cha "Mafisadi wa Elimu" akiweke humu jamvini ili tuwaumbue hawa "majuha"...
 
Back
Top Bottom