CV ya Dr. Francis

Hivi wewe utaunganisha Lini vitu viwili upate viwili vyenye sifa zilezile ila mmoja kabadili jina tuu.....halfu ukasema kuw aumeunganisha?Lazima uweke bond ktk vitu wiwili (mnapata vitu vi3),au uchanganye kabisa(kimoja)....na kupata kimoja.Sasa na hii inahitaji ROCKET SCIENCE.Otherwise mtakuwa mmefanya modifications tuu ktk hivyo vitu viwili...
 
hastahili hata kuwa udasa
bahati mbaya sana ....ukipata MUDA ukaingia UDASA..unaweza shangaa km vile umeingia Milembe ya wahadhiri wa UDSM...ni suala la muda na observations nzuri utaona na kusikia kitu cha ajabu sana kwa yule uidhani kapona au ni mlezi kule ndani.
 
Halafu anatangaza eti tuichague chagadema.... huyu mpuuzi kweli aisee
Haha..the more mnaiponda CDM kwa kutumia uchaga the more...dada zenu, mama zenu wanatamani kuomba ukoo uchagani....kuna mila ya kununua ukoo na kupitia mila na kuwa mchaga.Si za masai za kuku u olegwain kipuuzi hata kabla hujawa mwana ukoo kwa miaka kadhaa.Wengi tuu wananiambia wanataka zaa na wachaga..kwa vile wachaga hawatelekezi wana wao....wanajituma...na walipo maendeleo nayo yanawakimbilia.
 
Catholica rules:....nadhani umeona Obama,Queen..wameenda toa heshima kwa Pope Mpya........
 
- Sasa utamlinganisha Dr. FRansic na Lipumba au Dr. Slaa? Eti Dr. Slaa huwa ni Doctor wa nini hasa maana talking about unafiki kiongozi mkuu wa upinzani kuwa na kadi mbili za Chadema na CCM inasema mengi sana khusu unafiki au? Le Mutuz System
We lemutuz utakuru jamii ya watuamia ubongo kufikiri....hakuna saizi yako hapa broiler wewe....wewe kachupa ka kinywaji kanakupa ujasiri wakati ..unaweza fungwa pini puani na kutembezwa km mbwa au ng`ombe.Kutoka nyumba ya waziri mkuu kimeo wa zamani hakkufanyi uwe na akili.....Malecela hadi leo akiongea huwa napata shida sana kuamini aliupataje uwaziri mkuu....
 
Sasa kama sio kazi binafsi viva anafanya ya nini candidate? ???!!! Na aspect zinazoangaliwa kwa umakini kwa viva ni zipi???!! Hebu fafanua hapa ingawa unajiona sio mjinga!!!!
sijaelea sana maswali yako naomba yaweke vyema zaidi kwangu kuelewa..nitashukuru..
 
watanzania tunapenda kujadili mtu pasipo matatizo yanayowahusu watanzania. .Dr.Francis ni mtu makin sana
Sasa mbona wewe unajadili mtu ktk hitimisho....sasa km yeye ni tatizo tupoteze muda wa nini kumtenganisha na Yeye na Tatizo ili tudeal naye?Dunia ime develop precedures za kutenganisha mafuta ya petrol na gesi..ila sijui kwa tatizo na mtu.Ktk primary education kujadili mtu inaweza kuwa tatizo...hata kujadili mdudu wa malaria ianweza kuwa shida, kujadili matter ..wakati wakujadili inaweza kuonekana kutojua..ktk Higher education ...Mdudu wa malaria na mbu ndivyo vya kujadili, matter and energy vinakuwa vitu interchageable at certain conditions, na hapa matatizo ya watanzania..yanaunganishwa moja kwa moja na agent mmoja (ama mbu ama mdudu wa malaria)....huyo Francis......so baki ktk level yako ndogo..tuachie wengine ambao tunapenda hang ktk level ingine.....waliozoea dozi kubwa life itakuw atoo boring ktk doze zenu.
 
- marekebisho ya cv ya dr. Fransic ni- 1. Ba political science & public administartion 2. Licentiate of management umea sweden 3. Mba - udsm - hayo ya juu ni nonsense!! Uzushi wa ajabu sana ukawa wanajua kuzusha zusha uongo tu!! Le mutuz system
Sasa mbona ume m downgrade..PHD yake umeitoa...?Au ndio kutojua..mipangilio ya elimu kubwakubwa..?Kihiyo mwingine..ccm mwaka huu mtajivua nguo wote...Dr.Slaa kawapanga mstari..anawaambia mjivue nguo kusoge pembeni ktk mstari wa walio uchi.
 

Ghagadema na siasa zenu za udini ... points zko zooote zinazunguka ktk udini ..mazafanta
 
- Sasa wewe kweli unaweza kusimama na kusema Dr. Slaa ni Mtanzania? sio Mwarabu? Karatu kumejaa waarabu kibao mbona hilo husemi?

Le Mutuz System

Ukisoma vema kwa utulivu utagundua sijamtuhumu yeyote kuwa si mtanzania, badala yake utaelimika kwamba mtu yeyote anaweza kuwa raia wa nchi yoyote (ikiwemo Tanzania) kwa namna mbali mbali!
 
Mie namjua kwa jina la "Kasabubu" sijui kwa nini huwa halitumii hili jina?

Naweka rekodi sawa; ni KASAVUBU, F. M. Hilo Kasavubu ndio jina lake hasa analojulikana kwalo huko nyumbani kwao.
 
haroub othman amefanyaje hapa? muda mwingine kama hujisikii kuongea ni bora kunyamaza

Jamaa anataka kutuaminisha PhD ya UDsm sio kitu! Ni vema Watanzania wajue PhD iliyotolewa na chuo chochote kinachotambulika bado no halali.

Pili, hoja ya kuunga unga nayo sio hoja ya msingi, kitu muhimu ni kuwa na sifa zinazotakiwa ili kuipata hiyo PhD.

Mwisho, ni aibu sana kuikanyaga taaluma kama ya Dakta [PhD] kwa maslahi yoyote, huko ni kuweka rehani akili na heshima kwa manufaa ya muda mfupi. Kwa tabia aliyoonyesha Dk. Kasavubu, F.M, kuna hatari siku za usoni tukakosa wanafunzi wa kuitamano shahada ya PhD. Dk Francis hakuitendea haki PhD.
 
Naweka rekodi sawa; ni KASAVUBU, F. M. Hilo Kasavubu ndio jina lake hasa analojulikana kwalo huko nyumbani kwao.

Hello ni kweli, nimetembelea website ya bunge maalumu, huyu jamaa anaitwa FRANCIS KASABUBU MICHAEL.
 

Balantanda, tatizo hapa sio demokrasia au angechangia sawa na wengine. Tatizo lake ni jinsi alivyopresent maoni ya wachache, kwa kiwango cha elimu yake ya PhD, na umri wake; hakupaswa ku behave namna ile. Ingawa Dr. Francis ni home boy na ni mtu wa karibu kwangu, sikupenda kabisa alivyowasilisha maoni ya wachache, hata Ummy Mwalumu, pamoja na umri wake mdogo, elimu yake ndogo na ukada wake kwa Ccm alikuwa na nafuu kuliko Dr. Kasavubu, Dk Kasavubu alipaswa kuliheshimu Bunge la Katiba na Mwenyeki wa Bunge. Mbona Wassira, pamoja na ukada wake wote kwa CCM amesoma vizuri tu maoni ya wachache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…