Ngondombole
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 646
- 184
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Zito atawasilisha lini ya kwake,naona kaandaa ya kibinafi na kubandika fb
jumatatu(kesho)
1)tundu Lissu
2)freeman mbowe
3)Ismael jussa
we ulisoma chuo gani?
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Dr.Francis alimwaga uharo kweli. Ameenda kupoteza muda bungeni
Ungejua kuwa kutofautiana mawazo hakulindi "irresponsibility"..mawazo yasiyo na kuwajibika ni destructive na si huru ....Uhuru na wajibu ni kitu kimoja kisichotenganishwa....bila wajibu haupo huru...uispowajibika uhuru unakuwa na mipaka.This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.
Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
Mie namjua kwa jina la "Kasabubu" sijui kwa nini huwa halitumii hili jina?
Tupe Deliverables zake hapa si mi-vyeti kibao! sisi si wa BK kule gulioni Katerero ... hizo knowledge n skills zimeisaidia vipi taifa hili?...Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.....by Nicholas
Heshima yake inajulikana duniani kote! Ni upotoshaji mkubwa na unafanywa na magamba.