CV ya dereva wa tingatinga la jiji la Dar

Umewachahau wale polichi wanaolidna eneo LA tukio LA wabomolewaji ili wasifanye fujo
 
Yaani huwezi amini aliekuwa anaendesha lilokuwa linabomoa kuanzia kimara kwenda mvezi kwanza alikuwa kavaa mask (zile za kininja[emoji84] )napembeni kaweka mzinga wa konyagi[emoji13] [emoji13] ila la kusikitisha alikuwa akiona nyumba nzuri analia kwanza alafu kazi ndo inaanza
 


Mkuu, hili bandiko lako ni la kiuonevu aisee.... (with light touch)

Hata hawa madereva wa tinga tinga wanatafuta maisha kama mimi na wewe. Wangekuwa na elimu kama wewe..... Possibly wangeenda kuomba kazi tume ya ajira!

Sasa utasemaje kuhusu polisi wanaoua waandamanaji? mgambo wanaofukuza akina mama ntilie...? Au unataka hata polisi wasifuate amri za wakubwa wao?

Mimi nadhani watu wenye ukatili bila hata chembe ya huruma ni wanasiasa na viongozi ambao hata huyu dereva wa tinga tinga anafuata maelekezo yao! Maana hao ndo wanafanya maamuzi nyumba zibomolewe! Na mambo mengine lukuki...

So you are hitting a wrong target bro.
 
Duh..naskia albadili haiwapatagi hawa
Thubutu....pale kimara barutu njia ya kuja kutokea chuo kuna nyumba kama ya 3 kulia kama ukishaingia pale katapila kila likifika dereva anaamsha mashetani
 
Ndo maana kuna madereva wengine wanabomoa huku wanafuta machozi kwa uchungu ila posho yao ni ndefu kulingana na kazi alioifanya maana wanalipwa kwa masaa
 
watakuwa wanashtua kwanza kabla ya kubomoa
 
Yule aliyekuwa anabomoa vibanda katika barabara ya Umoja wa Mataifa alikuwa ni mfungwa, na anaendesha tingatinga akiwa na pingu mkono mmoja
 
Thubutu....pale kimara barutu njia ya kuja kutokea chuo kuna nyumba kama ya 3 kulia kama ukishaingia pale katapila kila likifika dereva anaamsha mashetani

Hahaaaah nyumba ya Shekhe
 
Dah umenikumbusha hapa kijijin kuna dereva wa trekta moja yaan lugha yake ni full MATUSI tu mwanzo mwisho!
 
Duh..naskia albadili haiwapatagi hawa
Tanga alikuwepo mmoja mwenye sifa ka hizo akambomolea mpemba wakati mpemba alimsihi asubiri atuo vitu vyake dukani kwaka akamkatalia.
kesho yake yule dereva alikufa saa sita saa saba kaaza kuvimba na kutoa funza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…